Mwenyeji wa Muheza, Tanga anicheck PM

Habarini humu.

Nahitaji mtu ambaye ni mwenyeji Mheza yaani awe anapajua vizuri anicheki PM kuna dili nataka tuzungumze
Unahitaji mganga wa huko?
Sema nikupe connection
Kuna mzee mmoja hapo ni balaa Yaani hata kama kuna mtu kakufanyia ubaya unataka kulipa kisasi au kuua kabisa ni chap tu ukiwa na milioni unatanguliza nusu anapiga kazi then ukisikia msiba tu unamalizia nusu iliyobaki.
Ila uwe na hakika kwamba huyo mtu kakukosea
 
Ushirikina hautakuacha salama
 
Ukiweza kutulia ukajisafisha na kuwa na utamaduni wa kuomba usiku around saa 2:40 AM .

Unaweza kuilisha madhabau yako na ukapata kibali Kama wengine.

Kujitangaza na kuhakikisha unakuwa na MTU wa kukutafutia Sana Kazi (Network)

Mambo mengine utaliwa hela zako bure na Waganga and the more unaloga the more unashusha kinga zako za kiroho .
 
πŸ‘
 
Daah jamaa anatafuta mwenyeji wa muheza, tayari dots connected....muheza nimepita wala waganga sijaona pale, wanauza nazi tu pale.

Nimefika mpaka msitu wa amani sijaona mganga pia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…