babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Aisee mrejesho uko wapi kama ulifika huko.
Umelazwa kwenye bati mara ngapi?
Umelazwa kwenye bati mara ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee. 🤣🤣🤣🤣Daah jamaa anatafuta mwenyeji wa muheza, tayari dots connected....muheza nimepita wala waganga sijaona pale, wanauza nazi tu pale.
Nimefika mpaka msitu wa amani sijaona mganga pia.....
tunaomba mrejesho, mi nataka kufika piaHabarini humu.
Nahitaji mtu ambaye ni mwenyeji Muheza yaani awe anapajua vizuri anicheki PM kuna dili nataka tuzungumze.