The Watchman JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 2,186 Reaction score 4,940 Apr 6, 2025 #1 Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Sharifa Suleiman, amewasisitiza Wanawake nchini kuungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kudai mabadiliko na kutoshiriki kwenye uchaguzi mpaka pale mabadiliko ya kweli yatakapofanyika. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Sharifa Suleiman, amewasisitiza Wanawake nchini kuungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kudai mabadiliko na kutoshiriki kwenye uchaguzi mpaka pale mabadiliko ya kweli yatakapofanyika. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Apr 6, 2025 #2 Ni vizuri kuwajengea wananchi uelewa juu ya madudu yanayofanywa na watawala ili tu kuendelea kubakia madarakani.
Ni vizuri kuwajengea wananchi uelewa juu ya madudu yanayofanywa na watawala ili tu kuendelea kubakia madarakani.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,463 Apr 6, 2025 #3 Your browser is not able to display this video. Unapigaje kura?🤔