Pakacha kuvuja……….
Kila anayeondoka Chadema mnaona yeye ndio mwenye shida ina maana nyie ni Mungu mmekamilika na hamna shida au tatizo lolote.Huu upumbavu wa kujihesabia haki matunda yake mtayavuna muda si mrefu.Huyu aondoke mara Moja , kwanza hajulikan, Hana msaada wowote na Chama .
Pili hawez kufanya kazi na Uongozi mpya.
Aondoke, tuiingize MTU mpya.
Hii ng'oma ya waliyopanga watani wako na ndugu zako sio ya kitoto,wale akili fedha ipo ndio maana mtikisiko ni mkubwa,wakae mezani waongee yaishe.Hakuna taasisi inaendeshwa bila vikao5.2K reactions · 277 shares | Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche awavaa walio ondika CHADEMA wakidhani kuwa chama hicho kitakufa. | HABARIMPYA TV
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche awavaa walio ondika CHADEMA wakidhani kuwa chama hicho kitakufa.www.facebook.com
Kama hawapeleki thamani yeyote si muwaache waende tu? Wanawaachia chama chenu lakini wapi!Kama kuna ukweli, kwamba hawa watu wamenunuliwa na CCM, hii itakuwa ni bidhaa hafifu sana ya kupotezea pesa.
Haionyeshi kuwa thamani yao inalingana na pesa iliyolipwa. Na kama ni kutegemea matokeo ya kuondoka kwao ndani ya CHADEMA, sioni kuwa kutakuwepo na mtikisiko wowote.
Hawapeleki thamani yoyote CCM, au hata kwa chama chochote watakacho jiunga nacho.
Aliyebuni mpango huu kabugi sana.
https://www.facebook.com/Kila anayeondoka Chadema mnaona yeye ndio mwenye shida ina maana nyie ni Mungu mmekamilika na hamna shida au tatizo lolote.Huu upumbavu wa kujihesabia haki matunda yake mtayavuna muda si mrefu.
Hivi hao wote aliowataja wamesema wapi kuwa uchaguzi usifanyike bila ya mabadiliko? Wote hao wamesema kuwa reforms ni muhimu lakini hawakuzungumzia elections. Msimamo wao unafanana zaidi na wa G-55 kuliko wa kwao. Na hivi Heche anapata wapi ubavu wa kumfananisha mtu kama Ruge na punda? Au Silinde? Yaani leo anaubeza hadharani mchango wake kwa CDM? Mtu aliyekataa kujiunga na wakina Halima ili apate ubunge wa hakika ndio leo akubali kuhongwa kwa ahadi ya ubunge wa kusadikika! Huyu jamaa kwa kweli ana sikitisha.Hii ng'oma ya waliyopanga watani wako na ndugu zako sio ya kitoto,wale akili fedha ipo ndio maana mtikisiko ni mkubwa,wakae mezani waongee yaishe.Hakuna taasisi inaendeshwa bila vikao
Basi tuseme Mtambuka anajielewaAkisema haondoki utabadili gia na kusema anajulikana na ana msaada mkubwa kwa hilo lichama lenu ha ha ha. Nyie makamanda uchwara hamjielewi😁
Hilo sio siri. Alikuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar wakati wa Uenyekiti wa Halima. Ungesema tu ulichotaka kusema. Uzanzibari wake unahusika vipi kwenye hili?Ni mzanzibar nasikia
Mbona ni siasa nyepesi hata Silaha mwenyewe alisema ana habari za nyumba nyeupe kwamba mwamba kapewa bilion kwa ajili ya uchaguzi wa Chadema na fedha mama za abdul hatujasahau.Uchaguzi ukaenda sawa bado mnarudia tena laki nne,mnachosha unajua
Magarasha yote yatoke. Sipendi wanasiasa vigeugeu...kiongozi Gani anafika Bei na watu? Wakija kupewa nchi sasa si watauza hata ikulu? Maji na mafuta lazima yatenganeBony Yai siku yake ni lini, au yeye hayumo?
Sijamsikia Sugu, kasafiri?
Wenje; ile inawezekana ilikuwa geresha tu!
Ni kama wamejipanga kwa zamu kiustadi sana.
Siku ya Mbowe itakapowadia; hapo kazi itakuwa imekwisha. Amani itatamalaki ndani ya CHADEMA, na chama kitaimarika vyema.
Huu mchezo ni kama ulipangiliwa kwa ustadi sana.
Kwanza ilipangwa kumwondoa Mwenyekiti uwanjani, ili kazi ya kuitikisa CHADEMA ianze.
Watu wa Mbowe, wakaanza mmoja baada ya mwingine, kidogo kidogo kila wiki kutangaza kuondoka ndani ya chama, sababu zikiwa ni zile zile walizofundishwa kuzisema.
Wakati huo huo, 'Mtungi' naye kaamuka na lake, kuunga mkono madai ya hao wanao ondoka CHADEMA; na kutangaza viongozi walio teuliwa na Mwenyekiti, ambaye hayupo kutetea lolote, kuwa hawatambuliwi.
Sasa kilicho baki ni kusubiriwa Mbowe, aonyeshe/azindue wanakoelekea hawa wote, sijui itakuwa CHAUMA, au vipi.
Lakini yote kwa yote, kuondoka ndani ya chama virusi hawa ni bahati kubwa sana waliyojaliwa CHADEMA. Hawa watu wangekomalia kubaki ndani ya chama wangeleta uharibifu mkubwa sana.
Huyo mama wa BAWACHA, toka mwanzo alijitangaza yeye ni mtu wa Mbowe; kwa hiyo sasa tunaelekea ukingoni, kumfikia mwamba mwenyewe afunge hii kazi.
La kusikia na la kuambiwa unaamini lipiMbona ni siasa nyepesi hata Silaha mwenyewe alisema ana habari za nyumba nyeupe kwamba mwamba kapewa bilion kwa ajili ya uchaguzi wa Chadema na fedha mama za abdul hatujasahau.Uchaguzi ukaenda sawa bado mnarudia tena laki nne,mnachosha unajua
"Kujitoa kumewahakikishia CCM ushindi wa 75%."kujitoa kwenu kumewahakikishia ushindi wa zaidi ya 75% bila kutoa jasho. ACT-WAZALENDO watachukua kura... kambi rasmi ya upinzani
Kila kiongozi aondoke mliwachagua wa nini, nyumbu bwana nyumbu inaungua wao wanasema tunasafisha nyumbaHuyu aondoke mara Moja , kwanza hajulikan, Hana msaada wowote na Chama .
Pili hawez kufanya kazi na Uongozi mpya.
Aondoke, tuiingize MTU mpya.
Tuoneshe risiti ya manunuzi, we ni zombie tu unafahamikaSimuoni kwenye mikutano.
Mimi naionea huruma Tanzania yangu Kwa kuongozwa na CCM, chama la wajinga linaoamin kununua Wapinzani, ni kuua Chama .
Kabla ya kujitoa CHADEMA wangeshinda kwa mbinde na ingewabidi kutumia nguvu za ziada na wacheze foul za wazi. Sasa hivi wanaweza hata kujifanya wanaendesha uchaguzi wa haki katika maeneo mengi."Kujitoa kumewahakikishia CCM ushindi wa 75%."
Na kabla ya kujitoa, CCM walikuwa wanashinda kwa ngapi, 51% ?? Wakurugenzi walikuwa wanaengua halafu wanabakiza baadhi wa CHADEMA wanawatangaza, 49 % ??? Si ndio.?
Haya. Kila la heri katika kumkamata huyo samaki bila nyavu. Hamna kambi rasmi ya upinzani katika bunge la sasa hivi kutokana na wabunge wachache waliopo. Naona umewasahau wabunge wa CUF na ACT-WAZALENDO.Na hilo la. ACT kwenda kuongoza kambi ya upinzani, hilo ni kila la heri, good for them, si baya kwa saab ambition ya CHADEMA ilishatoka huko! CHADEMA has bigger fish to fry! Sio kuongoza vikambi kambi vya upinzani uchwara vya mbunge mmoja wa jimbo, 19 viti maalum.
No doubt kuwa Lissu alishinda lakini hilo la mandate is a little bit of a stretch. Tofauti ilikuwa ndogo mno. Lakini tunamtakia kila la kheri.Elections have consequences. Lissu hajaja kuendeleza CDM ile ile ya Mbowe, ya chama cha upinzani cha kudumu. Lissu ameshinda mandate ya kujaribu:
1 / Kuja na siasa ngumu za upinzani
2 / Kuleta mageuzi ya kisiasa nchini
Simple as.
SharifaKwani anaitwa nani?
Saa kama chama kigegsuka Mali ya TEC na watu wa Bara huku kikibagua Wazanzibar abakie kufanya nini huko? Si bora aende ACT au CCM.Habari za kuaminika ni kwamba Ma dam amesha wekwa kwenye ratiba ya kutangaza kuachana na CHADEMA wiki ijayo.
Sababu ni zilezile na atatangaza ameondoka na bawacha 500.
Kazi ipo