Mbona unafuatilia na kushadadia mambo ya chadema ambayo hayakuhusu.Ungeshughulika na mambo ya kujenga na kuimarisha chama chako cha ccm kuelekea uchaguzi.Uongo unakusaidia nini? Ni wakina nani waliotuma ujumbe kwa wapiga kura kuwa Suzan Kiwanga amesema kura zake apewe mtu wa Lissu? Ilibidi Suzan aikane jukwaani. Kwa nini usiseme kabisa kuwa Aidan alihongwa ndio maana alimtangaza Sharifa kuwa mshindi? Hamkisaidii chama chenu kwa uongo huu.
Amandla...
Ndugu yangu Zanzibar-ASP, hata santuri ikiwa nzuri kiasi gani, mbuzi watasimama pale pale na usimtegemee kumuona akitikisa hata hako kamkia kake. Waliopanga upuuzi huu tunaoushuhudia, kwa akili zao waliamini kabisa Chadema lazima isambaratike!Ndio chungu ya Demokrasia.
Wamama walimuona anawafaa, na wengine walinunuliwa, demokrasia ikachukua mkondo wake, akachaguliwa. Lakini yote hayo hayaondoi ukweli ambao wengine tunaujua, yule mama ni mbuzi wa kijani. Muda utafika atakwenda CCM, na asipokwenda atapelekwa kwa lazima.
Huu mziki wa Lissu hawezi kuucheza daima. Ni mziki mzito balaa.
Tatizo la watu kama wewe ni kuwa mnameza kila mnachoambiwa bila kulitafakari. Sio bure mkaitwa nyumbu. Hakuna mahali G-55 wamesema kuwa wanaondoka kwa sababu Lissu kashinda. Wamesema wanaondoka kwa sababu ya vitendo vya viongozi wa sasa wa Chadema. Hawa unaowaita viroboto ndio walioofikisha CDM hapa ilipo. Wewe umechangia nini kwa Chadema?Wewe ni miongoni mwa g55 akili yako inajionesha hivi unaweza hama chama kisa aliyeshinda humpendi
Chadema siyo viongozi chadema ni wananchi ndiyo maana watahama viroboto wote lakini chadema itaendelea kudumu.
Pole mkuu, unachokidhani sicho hicho...Ulitaka wangoje kufukuzwa kama ambavyo baadhi yao walivyofukuzwa? Hiyo spinning ya kuwa wanaondoka kwa sababu Mbowe alishindwa haina tija maana baadhi yao walionyesha utayari mkubwa wa kushirikiana na uongozi uliopo. Wanaondoka kwa sababu uongozi uliopo umewaonyesha kuwa hawana nafasi katika chama.
Kushirikiana na uongozi ni pamoja na kutoa ushauri na kuchangia mawazo yako. Kama hata hilo linachukuliwa kama usaliti kwa nini ubaki? Umezee tu wakati unatukanwa na kufanyiwa udhalilishaji wa kila namna? Mtu mwenye integrity akiona hivyo anajitoa badala ya kukichimba chama chake anachokipenda kwa dhati.
Amandla...
Waliamini wao watashinda 100%, tatizo lilianzia hapo.Unahamaje kwenye chama kwa sababu ya kizembe hivi?Wakati wa uchaguzi, bahati nzuri kila mtu alikuwa anajua nayule Mama hakujificha kwamba yeye anamsupoti Mbowe,shida inawezekana ilianzia hapo,hizi tuhuma zingine ni kuomgezea tu justification za yeye kuondoka.......ila ukweli nikwamba majeraha ya uchaguzi ndiyo yamekifikisha chama hapa
Huyo labda ndiye wasaliti, G-55, wamemchagua kuwa msemaji wao kwenye social media, ha ha haa. Anavyohaha humu JF unaweza hata kumhurumia.Pole mkuu, unachokidhani sicho hicho...
Sawa. Mmeacha kwenda kuvua kwa sababu Mamlaka ya Uvuvi imewakataza? Nyinyi ndio mnasema mtapambana na CCM kuliko walivyofanya wakina Ruge, Aisha na wengine? Nyinyi ambao mlimkimbia kiongozi wenu alipobebwa mbele yenu! Nyinyi ambao mmeogopa kwenda Mahakamani kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wenu mpaka mpate kibali cha serikali!Sasa kwa nini washiriki uchaguzi ambao wewe unakiri na kila mtu anajua:
1 / CDM watashindwa
2 / CCM watacheza rafu
3 / watu watakufa, wengi zaidi ???????????
Nikasema, hatutaki tena vikambi kambi dhaifu za upinzani. We have bigger fish to fry. We don't want to be stuck in the mud. Tunapigania:
1 / Tume Huru
2 / Katiba Mpya
3 / Kushinda dola.
Ukasema hatuna nyavu. Sio nyavu. Shida ni Mamlaka ya Uvuvi inatuhujumu, ina maslahi na samaki wa CCM.
Nyenzo zetu, kama ilivyoainishwa na Mwenyekiti, ni:
1 / Jumuiya ya Kimataifa
2 / Taasisi za dini
3 / Vyama au chama cha siasa
4 / Nguvu ya umma
Ambitions za Ubunge wa Wanawake na Kambi za Upinzani, hard pass! Tulishatoka huko.
Si kila siku mnatuambia Chadema ni ya taifa zima na mnatupigania wananchi wote? Kumbe mnachotaka ni kusifiwa tu? Mnatofauti gani na CCM katika kuendekeza uchawa?Mbona unafuatilia na kushadadia mambo ya chadema ambayo hayakuhusu.Ungeshughulika na mambo ya kujenga na kuimarisha chama chako cha ccm kuelekea uchaguzi.
Hamna taabu. Mradi ni mawazo yangu na sio ya mtu mwingine. Ukweli utajulikana tu hivi karibuni. Kama nimekosea nitaomba radhi. Sidhani kama wewe unaweza kufanya hivyo.Pole mkuu, unachokidhani sicho hicho...
uchungu na hasira za kuachwa hazijifichi kwa sura, maneno wala matendo gentleman,Huyu aondoke mara Moja , kwanza hajulikan, Hana msaada wowote na Chama .
Pili hawez kufanya kazi na Uongozi mpya.
Aondoke, tuiingize MTU mpya.
Safi sana, achukue hela hizo, sijui wanampa milioni ngapi!Habari za kuaminika ni kwamba Ma dam amesha wekwa kwenye ratiba ya kutangaza kuachana na CHADEMA wiki ijayo.
Sababu ni zilezile na atatangaza ameondoka na bawacha 500.
Kazi ipo
ni vizur sana wananchi kutumia uhuru na haki zao za kikatiba bila wengine kuwakasirikia 🐒Habari za kuaminika ni kwamba Ma dam amesha wekwa kwenye ratiba ya kutangaza kuachana na CHADEMA wiki ijayo.
Sababu ni zilezile na atatangaza ameondoka na bawacha 500.
Kazi ipo
Sounds desperateHuyu aondoke mara Moja , kwanza hajulikan, Hana msaada wowote na Chama .
Pili hawez kufanya kazi na Uongozi mpya.
Aondoke, tuiingize MTU mpya.
Gentleman, tuongee biashara, na mimi nataka nitangaze kujiondoa CHADEMA, mnanipa bei gani?uchungu na hasira za kuachwa hazijifichi kwa sura, maneno wala matendo gentleman,
na bado 🐒