LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Sababu za G 55 hazina mashiko, huwezi kuhama chama kwa sababu ya kutofautiana na viongozi.Ingekuwa hivo ccm wangetoka wengi sana
Tatizo la watu kama wewe ni kuwa mnameza kila mnachoambiwa bila kulitafakari. Sio bure mkaitwa nyumbu. Hakuna mahali G-55 wamesema kuwa wanaondoka kwa sababu Lissu kashinda. Wamesema wanaondoka kwa sababu ya vitendo vya viongozi wa sasa wa Chadema. Hawa unaowaita viroboto ndio walioofikisha CDM hapa ilipo. Wewe umechangia nini kwa Chadema?
Amandla...