Mwenyekiti BAWACHA Pwani: Sioni sababu ya kumwondoa Mbowe.Tunataka aendelee hadi tutakapokamata dola!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Viongozi mbalimbali wa CHADEMA wameendelea kutoa matamko yao wakati wakiwa wanaelekea kwenye Uchaguzi

Haya ni maneno ya Rose Moshi, Mwenyekiti BAWACHA Kanda ya Pwani

"Sioni sababu za kumbadilisha na kumuondoa tunatakiwa kumuombea ili aendelee na moyo huo huo wa ujasiri mpaka hapo tutakapofikia lengo letu la kukamatwa dola"

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu hajui dunia ,simwombei mabaya Mbowe , ila vipi ikitokea amekufa , na chama ndo kitakua kimekufa , uhuni tu wa maneno toka kwa wahuni , mtashangaa ,lissu Mwenyekiti ajae wa Chadema
 
Huyu hajui dunia ,simwombei mabaya Mbowe , ila vipi ikitokea amekufa , na chama ndo kitakua kimekufa , uhuni tu wa maneno toka kwa wahuni , mtashangaa ,lissu Mwenyekiti ajae wa Chadema
Mbowe akifa na chama hakichukui round kinakufa. Hata sasa Lissu akiwa Mwenyekiti basi jua Chadema imekufa!
 
Kabisa.
 
Mbowe akifa na chama hakichukui round kinakufa. Hata sasa Lissu akiwa Mwenyekiti basi jua Chadema imekufa!
Sio kweli , chadema ipo na watu , hata mie binafsi uwezo wangu kuongoza chama ichi Lissu n Mbowe nimewaacha mbali sana ,tusibabaishwe
 
Lissu alikuwa sahihi kusema anataka kuondoa ukomo ili kukomesha uchawa
 
Mbowe akifa na chama hakichukui round kinakufa. Hata sasa Lissu akiwa Mwenyekiti basi jua Chadema imekufa!
Hujitambui , Mbowe hata kesho afe ,chadema itakuapo ,si mwombei kifo Mbowe ,nampeda sana, ila ni wakati wa lissu period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…