Mwenyekiti BAWACHA Pwani: Sioni sababu ya kumwondoa Mbowe.Tunataka aendelee hadi tutakapokamata dola!

Mwenyekiti BAWACHA Pwani: Sioni sababu ya kumwondoa Mbowe.Tunataka aendelee hadi tutakapokamata dola!

Hujitambui , Mbowe hata kesho afe ,chadema itakuapo ,si mwombei kifo Mbowe ,nampeda sana, ila ni wakati wa lissu period
Mimi siongei kwa mihemko kama wewe. Naongea as a scholar. Lissu HANA uwezo hata wa kusimamia familia yake seuse Chama Cha Siasa?
 
Back
Top Bottom