Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Akitoa Gesi hizo 143 katika kata ya Nyangolo, Malengamakali pamoja na viti 15 na meza Mbili kwa kila kata kwa Niaba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa vijijini Ndugu Constatino Kiwele, Katibu wa UWT Wilaya ya iringa vijijini ndugu Sophia nyalusi aliwaomba Mabalozi wa kata hizo mbili kuhakikisha wanaendelea kukisemea Chama cha mapinduzi kwa kuwa maendeleo makubwa yamefanyika katika Jimbo hilo la Ismani.
Soma Pia:
Soma Pia:
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
- Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025