Pre GE2025 Mwenyekiti CCM Iringa Vijijini atoa mitungi ya gesi 143 pamoja na viti 15 na meza Mbili katika kata ya Nyangolo, Malengamakali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Akitoa Gesi hizo 143 katika kata ya Nyangolo, Malengamakali pamoja na viti 15 na meza Mbili kwa kila kata kwa Niaba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa vijijini Ndugu Constatino Kiwele, Katibu wa UWT Wilaya ya iringa vijijini ndugu Sophia nyalusi aliwaomba Mabalozi wa kata hizo mbili kuhakikisha wanaendelea kukisemea Chama cha mapinduzi kwa kuwa maendeleo makubwa yamefanyika katika Jimbo hilo la Ismani.

Soma Pia:
Snapinst.app_479487273_17938731239970473_4042230226085932796_n_1080.jpg
Snapinst.app_479382142_17938731257970473_2144495800401056673_n_1080.jpg
 
Ndo muda wa takrima huu......
Natamani watu wote wa jinsi hii wapiga kura wawakatae kama walivyofanya kwenye uchaguzi wa CHADEMA....Hii ni kudhalilisha utu wa binadamu wenzetu, we unampa jiko ambalo gesi ikiisha hana pesa za kwenda kuongeza?
 
Akitoa Gesi hizo 143 katika kata ya Nyangolo, Malengamakali pamoja na viti 15 na meza Mbili kwa kila kata kwa Niaba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa vijijini Ndugu Constatino Kiwele, Katibu wa UWT Wilaya ya iringa vijijini ndugu Sophia nyalusi aliwaomba Mabalozi wa kata hizo mbili kuhakikisha wanaendelea kukisemea Chama cha mapinduzi kwa kuwa maendeleo makubwa yamefanyika katika Jimbo hilo la Ismani.

Soma Pia:
View attachment 3236702View attachment 3236703
Yaani chama kinatoa hongo kwa wananchi ili kikubalike.
Wananchi chukueni kwani hizo ni kodi zenu. Nchi inaibiwa, maendeleo yanahujumiwa na wakishavimbewa na kodi zetu ndio mabaki haya wanatuletea kutuhadaa.
 
Akitoa Gesi hizo 143 katika kata ya Nyangolo, Malengamakali pamoja na viti 15 na meza Mbili kwa kila kata kwa Niaba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa vijijini Ndugu Constatino Kiwele, Katibu wa UWT Wilaya ya iringa vijijini ndugu Sophia nyalusi aliwaomba Mabalozi wa kata hizo mbili kuhakikisha wanaendelea kukisemea Chama cha mapinduzi kwa kuwa maendeleo makubwa yamefanyika katika Jimbo hilo la Ismani.

Soma Pia:
View attachment 3236702View attachment 3236703
Wenye maendeleo makubwa wanafurahia hisani ya meza mbili na viti 15! Waburkinabe wamefanikiwa kutengeneza gari inayotumia nishati umeme wakishindana bilionea Elon Musk
 
Kama mtu ameshindwa kununua mwenyewe huo mtungi ni dhahiri hawezi kununua gas ikiisha.
Hili zoezi la kugawa mitungi halina tija wala halitatui tatizo la msingi
 
Back
Top Bottom