Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Natamani watu wote wa jinsi hii wapiga kura wawakatae kama walivyofanya kwenye uchaguzi wa CHADEMA....Hii ni kudhalilisha utu wa binadamu wenzetu, we unampa jiko ambalo gesi ikiisha hana pesa za kwenda kuongeza?Ndo muda wa takrima huu......
Yaani chama kinatoa hongo kwa wananchi ili kikubalike.Akitoa Gesi hizo 143 katika kata ya Nyangolo, Malengamakali pamoja na viti 15 na meza Mbili kwa kila kata kwa Niaba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa vijijini Ndugu Constatino Kiwele, Katibu wa UWT Wilaya ya iringa vijijini ndugu Sophia nyalusi aliwaomba Mabalozi wa kata hizo mbili kuhakikisha wanaendelea kukisemea Chama cha mapinduzi kwa kuwa maendeleo makubwa yamefanyika katika Jimbo hilo la Ismani.
Soma Pia:
View attachment 3236702View attachment 3236703
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
- Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wenye maendeleo makubwa wanafurahia hisani ya meza mbili na viti 15! Waburkinabe wamefanikiwa kutengeneza gari inayotumia nishati umeme wakishindana bilionea Elon MuskAkitoa Gesi hizo 143 katika kata ya Nyangolo, Malengamakali pamoja na viti 15 na meza Mbili kwa kila kata kwa Niaba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa vijijini Ndugu Constatino Kiwele, Katibu wa UWT Wilaya ya iringa vijijini ndugu Sophia nyalusi aliwaomba Mabalozi wa kata hizo mbili kuhakikisha wanaendelea kukisemea Chama cha mapinduzi kwa kuwa maendeleo makubwa yamefanyika katika Jimbo hilo la Ismani.
Soma Pia:
View attachment 3236702View attachment 3236703
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
- Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025