Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Huyo ndio haswa mlengwa. Kutachimbika. Ila huyo namba tatu hana ubavu wa kukata mtu ni maneno tu yanamtoka baada ya jamaa kupindua meza.Kwa hiyo yule mlevi naye atakatwa?
Duh... let's wait and seeHuyo ndio haswa mlengwa. Kutachimbika. Ila huyo namba tatu hana ubavu wa kukata mtu ni maneno tu yanamtoka baada ya jamaa kupindua meza.
Let's wait and seeHuyo ndio haswa mlengwa. Kutachimbika. Ila huyo namba tatu hana ubavu wa kukata mtu ni maneno tu yanamtoka baada ya jamaa kupindua meza.
Yuko rightAkiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM hawana nafasi. Tutapitia mchakato mzima, na hapa mkoani Mara tuna taarifa za waliotoa rushwa. Tutawakata. Narudia, TUTAWAKATA. wasijidanganye kwamba wana vyeo. hivyo vyeo ni via chama dola CCM, na CCM imekataa Rushwa"
Nadhani jiwe limerushwa gizani. Kuna watu litawapata
Habari hizi zimfikie yule mkurya anaelewa na kujikojolea huko ukonga dar,mkurya anaekula chips kiepeAkiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM hawana nafasi. Tutapitia mchakato mzima, na hapa mkoani Mara tuna taarifa za waliotoa rushwa. Tutawakata. Narudia, TUTAWAKATA. wasijidanganye kwamba wana vyeo. hivyo vyeo ni via chama dola CCM, na CCM imekataa Rushwa"
Nadhani jiwe limerushwa gizani. Kuna watu litawapata
Huyo namba 3 ana ugomvi binafsi na mtia nia. Hana ubavu wa kumkata maana kapelekwa pale kimkakatiAkiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM hawana nafasi. Tutapitia mchakato mzima, na hapa mkoani Mara tuna taarifa za waliotoa rushwa. Tutawakata. Narudia, TUTAWAKATA. wasijidanganye kwamba wana vyeo. hivyo vyeo ni via chama dola CCM, na CCM imekataa Rushwa"
Nadhani jiwe limerushwa gizani. Kuna watu litawapata
Hayupo wa kumshinda Heche zaidi ya Waitara ,pengine Kiboye kachoka kazi ya umwenyekiti na anataka kuhamia upinzaniAkiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM hawana nafasi. Tutapitia mchakato mzima, na hapa mkoani Mara tuna taarifa za waliotoa rushwa. Tutawakata. Narudia, TUTAWAKATA. wasijidanganye kwamba wana vyeo. hivyo vyeo ni via chama dola CCM, na CCM imekataa Rushwa"
Nadhani jiwe limerushwa gizani. Kuna watu litawapata
Kiboye na Waitara ni paka na ChuiHayupo wa kumshinda Heche zaidi ya Waitara ,pengine Kiboye kachoka kazi ya umwenyekiti na anataka kuhamia upinzani
Msimu wa mavuno kwa wajumbe. Wenyewe wanapenda takrima. Huku mitaani wanaonekana wakiwa na furaha sana.Akiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM hawana nafasi. Tutapitia mchakato mzima, na hapa mkoani Mara tuna taarifa za waliotoa rushwa. Tutawakata. Narudia, TUTAWAKATA. wasijidanganye kwamba wana vyeo. hivyo vyeo ni via chama dola CCM, na CCM imekataa Rushwa"
Nadhani jiwe limerushwa gizani. Kuna watu litawapata
Kiboye aaache Uadui wa Kikabila kwa Waitara, anafanya biffu la kizamani sana huyu Namba 3 ajiangalie Na.1 asije kumla kichwa yeyeKiboye na Waitara ni paka na Chui
Kuongea sio kutenda mbona mwita karudiAkiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM hawana nafasi. Tutapitia mchakato mzima, na hapa mkoani Mara tuna taarifa za waliotoa rushwa. Tutawakata. Narudia, TUTAWAKATA. wasijidanganye kwamba wana vyeo. hivyo vyeo ni via chama dola CCM, na CCM imekataa Rushwa"
Nadhani jiwe limerushwa gizani. Kuna watu litawapata
Waitara ajiandae kwenda kuvuta nyavu za kuvulia samaki pale mwaroniAkiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM hawana nafasi. Tutapitia mchakato mzima, na hapa mkoani Mara tuna taarifa za waliotoa rushwa. Tutawakata. Narudia, TUTAWAKATA. wasijidanganye kwamba wana vyeo. hivyo vyeo ni via chama dola CCM, na CCM imekataa Rushwa"
Nadhani jiwe limerushwa gizani. Kuna watu litawapata
Kwa hiyo yule mlevi naye atakatwa?
Kumbuka kuwa huyo ndiye mwenyekiti wa chama mkoa wa mara, sauti yake ina uzito kwenye vikao vya chama.Huyo ndio haswa mlengwa. Kutachimbika. Ila huyo namba tatu hana ubavu wa kukata mtu ni maneno tu yanamtoka baada ya jamaa kupindua meza.
Namba 3 anadai mlwvi alishinda kwa rushwa