Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijatuma mtu agombee ubunge. JPMHuyo namba 3 ana ugomvi binafsi na mtia nia. Hana ubavu wa kumkata maana kapelekwa pale kimkakati
Unamwita mwenyekiti wa ccm ana akili finyu?Huyo mwenyekiti si ndiyo yule alikataa phd hataki wasomi, nadhani Akili zake zitakuwa finyu sana
Sijamtuma mtu agombee ubunge.JPMAtende haki kama kweli katoa pesa aweke ushahidi usio na shaka kwani waitara ni mtoa Rushwa hata ukonga aligawa Rushwa akapora ushindi kwa njia haramu, asije kuwaonea wengine kwa mgongo wa waitara ambaye Dodoma anasubiriwa kupewa jimbo kwani mwenyekiti wa CCM Taifa hawezi kusiliza chochote hata wakienda na ushahidi wa video baada ya Bashite chaguo la mtukufu ni waitara sasa
Hee..mjumbe mtu mbaya
Labda kama ana backup ya Jiwe, Waitara kama Hana backup ya Magufuli, amekwishw, kwani alianza kampeni za Mapema sana Huko Tarime vijijini huku akitumia cheo chake Cha unaibu Waziri na alilalamikiwa Sana tu, ngoja tuoneHuyo ndio haswa mlengwa. Kutachimbika. Ila huyo namba tatu hana ubavu wa kukata mtu ni maneno tu yanamtoka baada ya jamaa kupindua meza.
Jiwe ndio determinant factor kuu, inategemea jiwe anaukubali upande upi zaidi, haijalishi Kama Kuna ushahidi ama laHuyo namba 3 ana ugomvi binafsi na mtia nia. Hana ubavu wa kumkata maana kapelekwa pale kimkakati
CCM Wana jeshi, Wana Tume ya uchaguzi, na Wakurugenzi wote mfukoni mwao, wakitamka kuichukua Jimbo lolote wanalichukua, awepo Waitara ama asiwepoHayupo wa kumshinda Heche zaidi ya Waitara ,pengine Kiboye kachoka kazi ya umwenyekiti na anataka kuhamia upinzani
Kiongozi soma tu alama za nyakati. Kwanza kule wanataka kurudisha jimbo na Waitara ndio anaweza japo kupambana na Heche.Labda kama ana backup ya Jiwe, Waitara kama Hana backup ya Magufuli, amekwishw, kwani alianza kampeni za Mapema sana Huko Tarime vijijini huku akitumia cheo chake Cha unaibu Waziri na alilalamikiwa Sana tu, ngoja tuone
CCM Wana polisi, Tume ya uchaguzi, Wakurugenzi, wakitamka kurudisha Jimbo lolote linarudi, hawana haja ya kumtegemea Waitara,Kiongozi soma tu alama za nyakati. Kwanza kule wanataka kurudisha jimbo na Waitara ndio anaweza japo kupambana na Heche.
Pili, Wageni wote wamepigwa spana na ni wawili tu waliofanikiwa kuongoza kwenye kura za maoni sasa wakimkata Waitara maumivu yatakuwa hayamithiliki!!
Tatu, huyo Namba 3 ana mambo yake