Yuko right
Huwezi kumuamini ng'ombe alie katwa mkia.. Hata mke asie mwaminifu kwenye ndoa. Hafai kuolewa
Habari hizi zimfikie yule mkurya anaelewa na kujikojolea huko ukonga dar,mkurya anaekula chips kiepe
Huyo namba 3 ana ugomvi binafsi na mtia nia. Hana ubavu wa kumkata maana kapelekwa pale kimkakati
Hayupo wa kumshinda Heche zaidi ya Waitara ,pengine Kiboye kachoka kazi ya umwenyekiti na anataka kuhamia upinzani
Huyu mwenyekiti kaandaa safu yake pengine ataenda kutengeneza tuhuma feki apate kisingizio cha kuwaengua washindi wa kura za maoni, huo ujinga ndiyo huwafanya wananchi kuichukia CCMAkiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM hawana nafasi. Tutapitia mchakato mzima, na hapa mkoani Mara tuna taarifa za waliotoa rushwa. Tutawakata. Narudia, TUTAWAKATA. wasijidanganye kwamba wana vyeo. hivyo vyeo ni via chama dola CCM, na CCM imekataa Rushwa"
Nadhani jiwe limerushwa gizani. Kuna watu litawapata
Kiboye na Waitara ni paka na Chui
Hakuna cha bifu yeye kama mwenyekiti ana wajibu wa kusimamia maadili ndani ya chama.Kiboye aaache Uadui wa Kikabila kwa Waitara, anafanya biffu la kizamani sana huyu Namba 3 ajiangalie Na.1 asije kumla kichwa yeye
Mwenyekiti wa CCM wenu huko mara aweza kuwa ndiyo mwenyekiti wa hovyo kuliko wenyeviti wote wa CCM mkoa ingawa mwenyekiti wa Kinondoni na yeye alitoa kituko kama hicho, huu ujinga wa kutumia uchunguzi kupika tuhuma kutengeneza zengwe ili majina yakatwe CCM Dodoma utaisha lini? mbinu za hovyo kabsaKiboye ni pandikizi, CCM wamuangalie sana.
Karibu mkoa mzima unashikiliwa na upinzani zaidi ya miaka 10 sasa, alafu badala ya kuleta mikakati yakuurejesha CCM, anaweletea mambo ya kike na wao wanamuangalia tu?
Atende haki kama kweli katoa pesa aweke ushahidi usio na shaka kwani waitara ni mtoa Rushwa hata ukonga aligawa Rushwa akapora ushindi kwa njia haramu, asije kuwaonea wengine kwa mgongo wa waitara ambaye Dodoma anasubiriwa kupewa jimbo kwani mwenyekiti wa CCM Taifa hawezi kusiliza chochote hata wakienda na ushahidi wa video baada ya Bashite chaguo la mtukufu ni waitara sasaHakuna cha bifu yeye kama mwenyekiti ana wajibu wa kusimamia maadili ndani ya chama.
Waitara anashutumiwa kutoa takrima hivyo lazima amkate tu
Ninavyo mjua Namba tatu lazima atahakikisha Waitara anakatwa tuAtende haki kama kweli katoa pesa aweke ushahidi usio na shaka kwani waitara ni mtoa Rushwa hata ukonga aligawa Rushwa akapora ushindi kwa njia haramu, asije kuwaonea wengine kwa mgongo wa waitara ambaye Dodoma anasubiriwa kupewa jimbo kwani mwenyekiti wa CCM Taifa hawezi kusiliza chochote hata wakienda na ushahidi wa video baada ya Bashite chaguo la mtukufu ni waitara sasa
Ndiyo alijiuza kwa bei ya chee,kama dagaa wa mwanza.Kwa hiyo yule mlevi naye atakatwa?
Aache majungu. Rushwa takukuru walikuwepo mbona hawakuwakamataLet's wait and see
Naona mnaongea kwa mafumbo zaidi wakati hapa Jukwaani kila kitu huwekwa hadharani. Btw huyo mlevi ni nani?Huyo ndio haswa mlengwa. Kutachimbika. Ila huyo namba tatu hana ubavu wa kukata mtu ni maneno tu yanamtoka baada ya jamaa kupindua meza.
Hana uwezo huo. Hamkati wala nini atajiumiza mwenyeweNinavyo mjua Namba tatu lazima atahakikisha Waitara anakatwa tu