Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,524
- 4,477
Matag huna akili anatupigia kelele.Chadema ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu
Ameruhusu chadema kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo
Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk
Labda kwa sababu ya elimu yake
Acha kelele mataga. Hujalipwa?Yamelala ngoja yakiamka.
Sijui yatajiteteaje manyumbu ya ufipa.
Bahati hili halijalala.Acha kelele mataga. Hujalipwa?
Mbona umewasifu ccm sasa!! Halafu hao wenzao wanaozikalia ndo kina nani😆😆😆😆Basi uraisi angepewa lipumba.akili za ccm hovyo kabisa.wenzenu wanatumia kukalia nyinyi mnatumia kufikilia.
alafu cha kushangaza hao poyoyo na MA PHD yao wanaishi kwa kutumia akili za vidume kina MBOWE na LISSU teamChadema ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu
Ameruhusu chadema kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo
Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk
Labda kwa sababu ya elimu yake
Jamani. PhD nyingi nizatokana na dissertations za kuandikiwa. Kuna wasomi wanafanya biashara hizo. Hata hivyo kufaulu shule siyo kigezo cha uongozi au mafanikio. Bill Gates kwa mfano ni Harvard dropout lakini anatingisha ulimwengu wa information technology. Socrates ni mgriki ambaye hajaenda shule lakini ndiye baba wa falsafa-Philosophy. Inaonekana mwandishi wa nyuzi hii huna hata diploma. You look very shallow. Je baba yako aliyekulea na kukufikisha hapo ulipo ana cheti au PhD? After all, maendeleo siyo vitu bali ni watu!Chadema ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu
Ameruhusu chadema kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo
Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk
Labda kwa sababu ya elimu yake
Chadema ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu
Ameruhusu chadema kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo
Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk
Labda kwa sababu ya elimu yake
Hivi kuna watanzania bado hawajui kiswahili!!! Hasiye!!Kumbe unaweza ukawa na pHd lakini ukapelekwa mchaka mchaka na mtu hasiye na Phd ya kju
CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu
Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo
Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake
Mwenyekiti ana PhD ya kuunga unga,CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu
Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo
Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake
Mkuu ukihoji kwa uwazi uhalisia na uhalali wa hizo shahada zao za juu za uzamivu, utaishia kupotezwa tu kama Ben Saa 8.CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu