Mwenyekiti CCM(PhD) Chemist, Katibu mkuu CCM(PhD) Mwenyekiti Chadema na katibu wake hata diploma hawana

CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake

Watanzania engine ni washamba sana. Hivi mnajua PHD ni research! Sasa PHD ya Chemistry inasaidia vipi nchi wakati Magu mfano research yake ilikuwa kwenye zao la Korosho mbona Korosho imeshuka Saudi kuliko wakati wa Kikwete. Acheni ushamba PHD na kuongoza vyama wapi na wapi! Sasa huyu katibu anamzidi kawawa ambaye alikuwa hajasoma yeye ana nunua tu😂😂
 
CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake

Cha ajabu hao wasio na elimu wanaimudu sana lugha ya kupatia elimu, kuliko wenye elimu!
 
Jamani. PhD nyingi nizatokana na dissertations za kuandikiwa. Kuna wasomi wanafanya biashara hizo. Hata hivyo kufaulu shule siyo kigezo cha uongozi au mafanikio. Bill Gates kwa mfano ni Harvard dropout lakini anatingisha ulimwengu wa information technology. Socrates ni mgriki ambaye hajaenda shule lakini ndiye baba wa falsafa-Philosophy. Inaonekana mwandishi wa nyuzi hii huna hata diploma. You look very shallow. Je baba yako aliyekulea na kukufikisha hapo ulipo ana cheti au PhD? After all, maendeleo siyo vitu bali ni watu!
Mleta Uzi ni Pimbi
 
Hivi hapa tukimuuliza asiyewafahamu kuwa nani ana PhD na nani ni Form two B kati ya hawa wawili unategemea utapata jibu gani? Nimetoa mifano ya kuhojiwa na waandishi wa nje maana hakuna blabla kama unahojiwa na Pascal.

Huu ushahidi wa hizi video mbili umewatawanya mataga 🤣🤣🤣
 
CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake
Sawa, lakini jaribuni kumpeleka mwenyekiti wenu ahojiwe na BBC (English) muone aibu tutakayopata. Linganisha na Mbowe ambaye mnadai hana diploma jinsi alivyoshusha nondo wakati wa mahojiano na BBC!
 
hizo phd hata hazishangazi kinacho nishangaza ni namna wanavyo kusaport na hoja ya kilevi,kipumbavu,na kijinga namna hii
 
Kigezo cha elimu cha ubunge, Urais ni kujua kusoma na kuandika
 
Uongozi ni kipaji anachozaliwa nacho mtu kutoka kwa mwenyezi Mungu lakini elimu huwa inaongezea baadhi ya vitu kuwa na phd hakumaanishi lazima utakuwa kiongozi bora
 
CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake
Phd za kugawa mapapai barabarani?
zimesaidia nini katika maisha ya mtanzania wa kawaida?
Nyerere alikuwa na elimu gani?
Mandela alikuwa na elimu gani?
Kenyatta alikuwa na elimu gani na keny wametuacha kwenye demokrasia, uchumi na amani kwa kiasi gani?
MATAGA mna akili sawa na kopo la chooni
 
Hatutaki kujadili mambo ya elimu za watu bado tunamkumbuka Ben Saanane.
 
CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake
Mataga nenda katage.
 
Haya huyo wa Ziro anawatesa hivyo wasomi
Ana mtesa Nani zaidi ya kujitesa mwenyewe na misukule yake? Angalia mnavyo hangaika mitandaoni na mwangalieni mwenyekiti wenu ana sonona mpaka amekuwa chapombe! Hapa kazi tu!!
 
Back
Top Bottom