Mwenyekiti CCM(PhD) Chemist, Katibu mkuu CCM(PhD) Mwenyekiti Chadema na katibu wake hata diploma hawana

Mwenyekiti CCM(PhD) Chemist, Katibu mkuu CCM(PhD) Mwenyekiti Chadema na katibu wake hata diploma hawana

Ana mtesa Nani zaidi ya kujitesa mwenyewe na misukule yake? Angalia mnavyo hangaika mitandaoni na mwangalieni mwenyekiti wenu ana sonona mpaka amekuwa chapombe! Hapa kazi tu!!
Huwezimjua waulize wakubwa zakk chama gani kinawanyima usingizi Miami mitano mko pele yangu na bado mnahangaika museum's mliyoyafanya watu wanaona Judi na mliyoyafanya msiba na wasi kura mnazo na katiba mtabadilisha na tutarudi chama umoja ndo mine moto wake.
 
Umekaririshwa hujielewi mtu hata hajawahi kuongoza serikali unasema anawanyima usingizi wanao ongoza serikali? Toka anaingia chadema mpaka Leo anaitwa mpinzani na mpaka atazeeka ataitwa mpinzani watu wanaendelea kutawala tu amuulie mkwe wake mtei mpaka amezeeka na jina mpinzani
 
CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake
Yaani wewe kweli kiazi!! Watu wanaojitambua kama uingereza, na nchi nyingine za ulaya zilishawahi kuongozwa na watu ambao, hata degree hawana, na wakafanya makubwa, sembuse watanzania (MBULULA) hawa eti kuwaongoza lazima uwe na ma phd?!! Wananchi wenyewe asilimia 80,hawajitambui,hata ukiwa uliishia darasa la sita B, una uwezo wa kuwaongoza kama katiba ingeruhusu.ili mradi uwe unajitsmbua tu mfano, mh sungu ukimsikiliza, na prof. Macho kodo(majalala) wako, nani ameelimika?? Kwa mawazo hayo kiumbe cheusi(mwafrika) cjui kiliumbwa muda gani!!!
 
70BE80B1-7553-450C-B225-2951654E49C3.png
[ATTACH=ful
PHD zina faida gani linchi masikini kunuka
 
CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu

Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo

Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake
Bora kutokuwa na elimu hata ya darasa la kwanza na ukafanya mambo mazuri kuliko kuwa na phd alafu ukafanya mambo ya ajabu ajambu.
Mbna hao wenye phd wanawaogopa sana hao wasiokuwa nayo?
 
Back
Top Bottom