CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu
Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo
Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake

Kweli Mkuu... Tena Hadi unapagawa na PhD yake (ingawa ni fake)Kumbe unaweza ukawa na pHd lakini ukapelekwa mchaka mchaka na mtu hasiye na Phd ya kju
Mleta Uzi ni PimbiJamani. PhD nyingi nizatokana na dissertations za kuandikiwa. Kuna wasomi wanafanya biashara hizo. Hata hivyo kufaulu shule siyo kigezo cha uongozi au mafanikio. Bill Gates kwa mfano ni Harvard dropout lakini anatingisha ulimwengu wa information technology. Socrates ni mgriki ambaye hajaenda shule lakini ndiye baba wa falsafa-Philosophy. Inaonekana mwandishi wa nyuzi hii huna hata diploma. You look very shallow. Je baba yako aliyekulea na kukufikisha hapo ulipo ana cheti au PhD? After all, maendeleo siyo vitu bali ni watu!
Huu ushahidi wa hizi video mbili umewatawanya mataga 🤣🤣🤣Hivi hapa tukimuuliza asiyewafahamu kuwa nani ana PhD na nani ni Form two B kati ya hawa wawili unategemea utapata jibu gani? Nimetoa mifano ya kuhojiwa na waandishi wa nje maana hakuna blabla kama unahojiwa na Pascal.
Sawa, lakini jaribuni kumpeleka mwenyekiti wenu ahojiwe na BBC (English) muone aibu tutakayopata. Linganisha na Mbowe ambaye mnadai hana diploma jinsi alivyoshusha nondo wakati wa mahojiano na BBC!CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu
Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo
Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake
Naunga mkono hojaKumbe unaweza ukawa na pHd lakini ukapelekwa mchaka mchaka na mtu hasiye na Phd ya kju
Phd za kugawa mapapai barabarani?CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu
Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo
Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake
Haya huyo wa Ziro anawatesa hivyo wasomiMwenyekiti division zero unategemea nini?
Mataga nenda katage.CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu
Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo
Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa sababu ya elimu yake
Ana mtesa Nani zaidi ya kujitesa mwenyewe na misukule yake? Angalia mnavyo hangaika mitandaoni na mwangalieni mwenyekiti wenu ana sonona mpaka amekuwa chapombe! Hapa kazi tu!!Haya huyo wa Ziro anawatesa hivyo wasomi