Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdallah amewataka wanasiasa wa mkoa huo na wageni wanaoingia kuhakikisha wanalinda amani iliyopo kwa kuacha siasa ambazo zinaweza kuleta uvunjifu wa amani.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mkoani Tanga leo, Jumamosi, Machi 29, 2025 wakati akitoa salamu zake za Sikukuu ya Eid El Fitri, Rajabu amesema wananchi wanatakiwa kuendeleza mema ambayo walikuwa wakiyafanya kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa kukwepa vishawishi.

, embu atuambie kwanza hivyo viashiria vya kuvunja amani ni vipi! Yaani wakipigwa spana ndio amani imevunjwa?