Mwenyekiti CHADEMA Mikumi ahamia CCM

powercert_Tz

Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
45
Reaction score
44
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Mikumi, Bakari Hasani amekihama chama hicho na kujiunga na CCM na kusema ameridhika na kazi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na ameamua kumuunga mkono.

Rais Samia anaupiga mwingi sana. #mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
 

Attachments

  • Chadema-Mikumif1f541efb2b2-780x470.jpg
    53.8 KB · Views: 3
Tundu lisu anataarifa hizi kweliii
 
Kuna vyeo vingi sana huko na watu wenye sifa hakuna ngoja akale uteuzi.
 
Hana namna, upinzani hawana ushawishi tena. Hata ukisikiliza mikutano yao, hamna point, sana sana ni kuwadanganya wananchi
Haaaaa haaaaaa. Ngojaaa tuendelee kusikiliza sera zao. Ni boraa CCM ikae kimyaa tuu, baadae watachokaa, na wataacha wenyewee
 

Hata Matambi aliwahi kuhamia CCM kumbe kipenyo alikuwa karudi nyumbani
 
WAMEHAMA KINA HALIMA MDEE ITAKUWA YEYE AENDE Malaya wa Kisiasa hao
 

Bora ahame awape nafasi watu wengine ya kutumia hizo nafasi.
 
Utakuta alisha tumbuliwa miaka kibao Chadema. Halafu Ccm na propaganda wakamuokota jalalani.
 
Haaaaa haaaaaa. Ngojaaa tuendelee kusikiliza sera zao. Ni boraa CCM ikae kimyaa tuu, baadae watachokaa, na wataacha wenyewee

Kama unaona sera za CHADEMA za hovyo Basi baki na sera za CCM za kuleta zero sekondari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…