Mwenyekiti CHADEMA Mikumi ahamia CCM

Mwenyekiti CHADEMA Mikumi ahamia CCM

Ndio maana mkawatengenezea COVID-19 sio,sasa covid inawala nyie wenyewe [emoji848]
Siasa kwenye nchi za Kiafrika ni kama mpira watu wananyanganyana wachezaji na kuhujumiana ?

Chadema ilifikia MAHALI ikawa tishio mpaka ikawa inawachukua watu maarufu Toka CCM Lakini walipotoka kwenye dirá ya kupambana na ufisadi na kuanza kupambana na Magufuli ambaye alikua anapambana na ufisadi Kwa kumaanisha ndipo wale waliokuwa wanawaunga mkono ndani ya CCM na kwingineko walipoanza kupoteza matumaini na kujikuta wanageuka kuwa Waunga mkono juhudi mana matumaini Yao Kwa upinzani yalipotea kabisa.

Leo hii Chadema wangesimama na msimamo Wao Wa Kupinga ufisadi na ama kumuunga mkono Magufuli au kukaa kimya na kumwacha awaparure majizi Wachache ndani ya CCM ,2025 Kwa CCM ya hii ya Walamba asali Chadema ingeingia Madarakani Kwa kura na nguvu ya umma isingezuilika mana madaraka ni ya Mungu kupitia umma Wa watu alimradi dhamira ya kuwapigania maskini inakuwepo?

Mana Samia ana nafasi ya kushinda 2025 SIO Kwa sababu ya Demkrasia . Big not , ni Kwa sababu ya dhamira yake njema Kwa watanzania . Mungu anaiona dhamira yake na anajua kuwa anaangushwa na Waliomzunguka ambao wamebeba maslahi Yao Binafsi ndani na Nje ya serikali !!

Tumuangalie tu Mamá Samia Hata kimaadili na kidhamira halafu tumlinganishe na Kundi la Walevi na Wazinzi waliopo Upinzani wakiongozwa na Mbowe? Hata ungekua wewe ndiye Mungu ungempa nani utawala ?
Bila shaka ungemwacha Mama Samia atawale mpaka wapinzania au kundi la Magufuli litakapoinuka Tena Hata Kwa nchi ya kwenzi na nguami. Mungu hapangiwi Namna ya kuwapata wapigania Haki na usawa Kwa wanyonge. Mungu haoni shida kuona waovu wengi au Wachache wakifurumishwa Kuelekea popote iwe gerezani au vyovyote,ndivyo historia ilivyo. Kila Shujaa huwa anatoka Kwa Mungu japo Baadae wanajawa na kiburi ndio Maana wanaondolewaga na Mashujaa WENGINE. Mfano Hitler,Iddi Amini, Gadaf,Sadam Hussein n.k. walikua ni Chachu kubwa ya mageuzi ya kiuchumi kwenye nchi hizo na waliondoa Wizi na unyonyaji kwenye nchi hizo na kujenga misingi ya Kizalendo.

Tanzania Tangu kuondoka Kwa Karume,Nyerere, Sokoine alitokea Magufuli kunyoosha nchi Kwa KUTUMIA pasi ya Gesi na kuondoa Chawa na wadudu kwenye nguo . Juhudi zake tusizipuuze tumuombee Kwa Mungu na kuendelea Kupinga wezi NDANI ya serikali Kwa nguvu zote. Tukiendelea kumzomea MTU ambaye alijitolea kwenye Pango la wanyanganyi linaloitwa CCM hakika Mungu ataipiga nchi hii MBALI kabisa na maujinga ya Siasa na Kila MTU atalia kilio ambacho hakuna atakayemfuta mwenzake machozi.

Mimi Mwenyewe Kuna baadhi ya mambo sana nilimpiga JPM AKIWA hai lakini Sasa nimeona na KUELEWA kuwa ni Kwa nini MUNGU akimleta JPM na kumpa nafasi Kuanzia Ubunge mpaka Urais MBALI na mifumo na michakato na Mfumo Wa CCM kubebana Kwa MALENGO ya kutafuna nchi . 2025 Wapinzani wakiendelea na Será za Mbowe NJE ya Kile kilichoipa umaarufu chadema na Hata watu wanyonge kabisa kuuawa Kwa Kupinga ufisadi basi watarajie ama Mama Kuwashinda Kwa kishindo Cha Sunami au CCM kuja na MTU Mwingine Wa dizaini ya Magufuli ambaye lengo litakua ni kuupata kura na kuwabana wapinzani kwenye masuala ya Katiba mana CCM wameshakua na kakundi Fulani ka watu NDANI ya mifumo Yote ya kidola ,mahakama na Bunge ambako kanalitafuna taifa hili ndani na Hata NJE ,hivyo Raha Yao ni kuona CCM inabaki madarakani na SIO ufisadi kuisha.Watamleta MTU Wao kulingana na Upepo utakavyokuwa. Wananchi walionekana wanamtafuta sana MTU Wa aina ya JPM basi ndani ya CCM wapo wengi. Wamleta na watampa masharti magumu mana atatokea Kabila dogo na Dini isiyo na nguvu ya kushawishi mataifa ya magaharibi ZAIDI ya kufuata matakwa Yao.
Tafakarini enye Wapinzani mnaoona kuwa Kila mwenye mtizamo Tofauti na hoja za Chadema basi ni CCM Kama vile watanzania hawana uhuru Wa KUTOA maoni Yao nje ya wigo Wa vitanzi vya vyama vya Siasa.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Mikumi, Bakari Hasani amekihama chama hicho na kujiunga na CCM na kusema ameridhika na kazi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na ameamua kumuunga mkono.

Rais Samia anaupiga mwingi sana. #mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
Ameunga mkono juhudi!
 
Ile ujinga umeanza tena
 
Porojo mingi mingi,chama chukua chako mapema,ndio cha kupambana na ufisadi,hakija wahi hakita wahi,kwani mtoto ya panya ni panya tu,ukooo wa mbuzi kamwe hauwezi kugeuka kubwa ukoo wa panya😂
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Mikumi, Bakari Hasani amekihama chama hicho na kujiunga na CCM na kusema ameridhika na kazi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na ameamua kumuunga mkono.

Rais Samia anaupiga mwingi sana. #mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
Anafuata Mbowe!
 
Chadema isipokaa na kuja na mikakati mipya na será mbadala haitakwemda MBALI ZAIDI ya kupiga kelele majukwaani.
Enzi za Akina Mdee, LISU AKIWA KIJANA ,ZITO KABWE ,Dr.Slaa,Sugu, Profesor Jay, Wenje,Ester Bulaya,Ndesamburo n.k. Chadema ilikuwa imara sana Lakini Kwa Sasa mana wamechoka ,pumzi imewaishia wanaangalia maslahi angalau wapate za kustaafia na wale bata . Mbowe anashinda na kulala Kulala kwenye Club atapata wapi muda Wa kuyatafakari MATATIZO ya watanzania. Hana jiipya zaidi ya JPM na mikutano ya Siasa kufungiwa.
Huyo anayeshinda na kulala Club huwa wewe ndio unakuwa naye?
Mwanaume unafuatilia mambo ya mwanaume mwenzako utashikishwa ukuta.
 
Back
Top Bottom