Chadema isipokaa na kuja na mikakati mipya na será mbadala haitakwemda MBALI ZAIDI ya kupiga kelele majukwaani.
Enzi za Akina Mdee, LISU AKIWA KIJANA ,ZITO KABWE ,Dr.Slaa,Sugu, Profesor Jay, Wenje,Ester Bulaya,Ndesamburo n.k. Chadema ilikuwa imara sana Lakini Kwa Sasa mana wamechoka ,pumzi imewaishia wanaangalia maslahi angalau wapate za kustaafia na wale bata . Mbowe anashinda na kulala Kulala kwenye Club atapata wapi muda Wa kuyatafakari MATATIZO ya watanzania. Hana jiipya zaidi ya JPM na mikutano ya Siasa kufungiwa.