powercert_Tz
Member
- Jul 19, 2022
- 45
- 44
- Thread starter
-
- #21
Alie sababisha bei ya vyakula kupanda ni Rais Samia? (huku ni kukosa point) . Bei ya maharage ni sawa na nyama?(Huu ni uongo mtupu)Kipi walikisema akina point? Tatizo wewe ndio mwenye shida ya kujua jema Ni lipi.
Kwahiyo chama chenu hakinashida na wanachama?? Sasa kitashindaje uchaguziiZipi?. Wamehama akina Slaa na Zitto sembuse mtu mdogo Kama huyo.
Wewe huelewiiii kabisaaa, sera zp za kuleta zero,Kama unaona sera za CHADEMA za hovyo Basi baki na sera za CCM za kuleta zero sekondari.
chama hakina jipya tena kishajifia na ukitaka kudhibitisha hilo utaona mikutano yao wanayodai wameruhusiwa 😃( imagine hata haki yao hawaijui)itakavyokuwa na fainali 2025 hamna kitu hapo mshashikwa sharubu mmelowa Mkiti wenu mwenyewe kaishiwa nguvuHata Magufuli alisema ameiua Akafa yeye Angalia USIFE ukaiiacha Chadema
Hana namna, upinzani hawana ushawishi tena. Hata ukisikiliza mikutano yao, hamna point, sana sana ni kuwadanganya wananchi
chama hakina jipya tena kishajifia na ukitaka kudhibitisha hilo utaona mikutano yao wanayodai wameruhusiwa 😃( imagine hata haki yao hawaijui)itakavyokuwa na fainali 2025 hamna kitu hapo mshashikwa sharubu mmelowa Mkiti wenu mwenyewe kaishiwa nguvu
Jambo sio kuridhika au kutoridhika,ila ni imani na uzalendo kwa taifa na watu wake,iwapo karidhika kwa kuwa tu kaahidiwa kwake njaa basi,huko ni kulihujumu taifa letu na ukosefu wa uzalendo uliopitiliza.,🤔Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Mikumi, Bakari Hasani amekihama chama hicho na kujiunga na CCM na kusema ameridhika na kazi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na ameamua kumuunga mkono.
Rais Samia anaupiga mwingi sana. #mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
sijaongea nimeandika tena kwa bashashi kubwa usoni 😀Kingekuwa kimeisha usingeongea kwa hasira kiasi hiki.
sijaongea nimeandika tena kwa bashashi kubwa usoni 😀
Twafaaaa,nana mlipaji mkuu mara hii🤔Biashara Imeanza Tena Oops
Mwafaa
Bado hawaja tambua kama ni dua la kuku lisilompata mwewe kamwe🤔Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm.
jazba juu ya chadema hahahhahhhahhhh chama mfu niwe na jazba nacho nitachekesha duniaWenye bashasha hawana jazba hizi.
Ni kweli maana chama chenye uhai ni kile kinachotambia mbeleko ya vyombo vya dola. Majizi ya kura bana mna vichekesho vyenu.jazba juu ya chadema hahahhahhhahhhh chama mfu niwe na jazba nacho nitachekesha dunia
Hivi nyie makamanda uchwara hamchoki tu kujibaraguza?Kahama Mashiji, Slaaa, Zitto , Halimadee et Al, sembuse huyo Kiongozi wa Jimboni.
Ndio maana mkawatengenezea COVID-19 sio,sasa covid inawala nyie wenyewe 🤔Chadema isipokaa na kuja na mikakati mipya na será mbadala haitakwemda MBALI ZAIDI ya kupiga kelele majukwaani.
Enzi za Akina Mdee, LISU AKIWA KIJANA ,ZITO KABWE ,Dr.Slaa,Sugu, Profesor Jay, Wenje,Ester Bulaya,Ndesamburo n.k. Chadema ilikuwa imara sana Lakini Kwa Sasa mana wamechoka ,pumzi imewaishia wanaangalia maslahi angalau wapate za kustaafia na wale bata . Mbowe anashinda na kulala Kulala kwenye Club atapata wapi muda Wa kuyatafakari MATATIZO ya watanzania. Hana jiipya zaidi ya JPM na mikutano ya Siasa kufungiwa.
Kaongea kwa hasira na chuki kubwa kwa chama kikubwa cha kizalendo na cha kitaifa na mtetezi wa wanyonge😂Kingekuwa kimeisha usingeongea kwa hasira kiasi hiki.