Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA, Singida: Maandalizi ya kumpokea Lissu yameiva, Ng'ombe zaidi ya 15 waandaliwa kusherehekea ushindi wake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Omar Athumani Toto, akielezea maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Mhe. Tundu Lissu wilayani Ikungi tarehe 15 Februari hii.

Soma, Pia:
 
stupid, ushindi wa kwenda wapi? ame achieve nini tangible? Ujinga huu ndio unaoiangusha chadema
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Omar Athumani Toto, akielezea maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Mhe. Tundu Lissu wilayani Ikungi tarehe 15 Februari hii.

Soma, Pia:
Huu ni upumbavu wa kiwango cha kutisha.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Omar Athumani Toto, akielezea maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Mhe. Tundu Lissu wilayani Ikungi tarehe 15 Februari hii.

Soma, Pia:
Singida ni mkoa wa kifugaji pia wacha ng'ombe zidondoke kumpokea shujaa tundu lisu, hakika Tanzania tumempata mtu sahihi wa kutuondolea hii takataka inayoitwa ccm
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Omar Athumani Toto, akielezea maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Mhe. Tundu Lissu wilayani Ikungi tarehe 15 Februari hii.

Soma, Pia:
Waste of money and resources, uzeni hao Ng'ombe pesa iende kusaidia mashina. Kwani Lisu kamshinda CCM, akimshinda CCM tutachinja nusu ya Ng'ombe Tanzania.

Mbowe na Lisu wamepokezana kijiti
 
Yani Singida kijana anaporudi nyumbani wanachinja tu hata bila ushindi ni jadi kupata supu yani, ya wazazi, wajomba, ndugu na jamaa yoyote tu anarusha vimbuzi, ng'ombe na asiyejiweza anamwaga kuku wa kienyeji so wenye wivu wajinyonge tu!
 
Waste of money and resources, uzeni hao Ng'ombe pesa iende kusaidia mashina. Kwani Lisu kamshinda CCM, akimshinda CCM tutachinja nusu ya Ng'ombe Tanzania.

Mbowe na Lisu wamepokezana kijiti
Pesa ya kusaidia mashina inakuja bila hata kuuza hao wa supu! Usiwe na shaka
 
Karibu sana Retired...

Na wewe karibu sana Ngongo...
Mag3 mimi ni chdema damu damu, lakini kwa mwenendo wa Lisu aliouonesha kwenye kampeni, NABAKI KUWA WELL WISHER WTH NO ACTIVE PARTICIPATION IN ANY CHADEMA BUSSINESS

TAKE NOTE OF ME: NAMI NILITAKA MBOWE APUMZIKE, LKN KWA HESHIMA NA SI KUMBAGAZA/KUMSINGIZIA, KUMVUNJIA HESHIMA (CHARACTER ASSASSINATION) KAMA ALIVYOFANYA LISU et al!.

Narudia, yamebaki majitu hayana busara ila kupiga kelele tuko tayari kufa , tuko tayari kufa as put by Heche juzi..... ngoja tuone uchaguzi unakuja tuone kama kweli watakufa...........maana CCM wataiba kura tena kama kawaida yao
 
Back
Top Bottom