Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA, Singida: Maandalizi ya kumpokea Lissu yameiva, Ng'ombe zaidi ya 15 waandaliwa kusherehekea ushindi wake

Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA, Singida: Maandalizi ya kumpokea Lissu yameiva, Ng'ombe zaidi ya 15 waandaliwa kusherehekea ushindi wake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sa100 na Kizimkazi yake vipi?
Machawa kwa unafiki mmebobea
Godbless Lema njoo ku comment humu nyie na Lisu mlikuwa mkishambulia Mama Kizimkazi na Magufuli na mambo ya kupenda vijijini kwao

Sasa njoo Godbless Lema ku comment humu kwa Lisu kwenda kujipongeza kijijini kwao kwa pesa za michango ya Wanachadema ndani na nje kwao kuwa tukio hilo ni la kitaifa .Sikiliza hiyo Clip.Mwenzio kama Mobutu seseko anaenda kwao gbadolite na yeye anaelekea Gbadolite ya Ikungi

Godbless Lema Tia neno basi
 
Waste of money and resources, uzeni hao Ng'ombe pesa iende kusaidia mashina. Kwani Lisu kamshinda CCM, akimshinda CCM tutachinja nusu ya Ng'ombe Tanzania.

Mbowe na Lisu wamepokezana kijiti
Ushauri mzuri sana. Waache wazibe masikio yao kisha waje watuombe michango ya no reform.
 
Back
Top Bottom