stupid, ushindi wa kwenda wapi? ame achieve nini tangible? Ujinga huu ndio unaoiangusha chademaMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Omar Athumani Toto, akielezea maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Mhe. Tundu Lissu wilayani Ikungi tarehe 15 Februari hii.
Soma, Pia:
Huu ni upumbavu wa kiwango cha kutisha.Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Omar Athumani Toto, akielezea maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Mhe. Tundu Lissu wilayani Ikungi tarehe 15 Februari hii.
Soma, Pia:
Singida ni mkoa wa kifugaji pia wacha ng'ombe zidondoke kumpokea shujaa tundu lisu, hakika Tanzania tumempata mtu sahihi wa kutuondolea hii takataka inayoitwa ccmMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Omar Athumani Toto, akielezea maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Mhe. Tundu Lissu wilayani Ikungi tarehe 15 Februari hii.
Soma, Pia:
Kule naskia kuna wanyiramba na wanyaturu kajichagulie tuMm nilimpigia kampen lisu wanasingida nipen bint nijipongezeπππ
Kwishney chadema yangu! kama kipaumbele ni mapokezi ya Lisu, then that is gone and gone forever!Kuwa mpole, hata wewe unakaribishwa upate kisusio mkuu
Waste of money and resources, uzeni hao Ng'ombe pesa iende kusaidia mashina. Kwani Lisu kamshinda CCM, akimshinda CCM tutachinja nusu ya Ng'ombe Tanzania.Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Omar Athumani Toto, akielezea maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Mhe. Tundu Lissu wilayani Ikungi tarehe 15 Februari hii.
Soma, Pia:
Pesa ya kusaidia mashina inakuja bila hata kuuza hao wa supu! Usiwe na shakaWaste of money and resources, uzeni hao Ng'ombe pesa iende kusaidia mashina. Kwani Lisu kamshinda CCM, akimshinda CCM tutachinja nusu ya Ng'ombe Tanzania.
Mbowe na Lisu wamepokezana kijiti
Basi kashinda Mbowe Kwa Mchango wa Ujenzi wa Kanisa πstupid, ushindi wa kwenda wapi? ame achieve nini tangible? Ujinga huu ndio unaoiangusha chadema
πππBasi kashinda Mbowe Kwa Mchango wa Ujenzi wa Kanisa π
We dada wa kichagga una Gubu mno
wamebaki makopo matupu.......Huu ni muda wa kushangilia Ushindi ?!!! Ushindi gani ? Nadhani kupeana mkono tu ilikuwa tosha haina sababu ya kuendeleza yaliyopita bali wagange yajayo...
View: https://youtu.be/4sJY7BTIuPY?si=gWIpE4H2L-LLuXPN
Mag3 mimi ni chdema damu damu, lakini kwa mwenendo wa Lisu aliouonesha kwenye kampeni, NABAKI KUWA WELL WISHER WTH NO ACTIVE PARTICIPATION IN ANY CHADEMA BUSSINESS
Sherehekea kila hatua unayopiga katika maisha. Kuwa mwenyekiti wa Chama sio kwa kila mtu.stupid, ushindi wa kwenda wapi? ame achieve nini tangible? Ujinga huu ndio unaoiangusha chadema