Nakutakia kila la heri katika msimamo wako huo. Mimi si mwana Chadema lakini naunga juhudi zao katika mapambano dhidi ya chama cha wanafiki, wezi, waongo na walafi kama CCM.Mag3 mimi ni chdema damu damu, lakini kwa mwenendo wa Lisu aliouonesha kwenye kampeni, NABAKI KUWA WELL WISHER WTH NO ACTIVE PARTICIPATION IN ANY CHADEMA BUSSINESS
Ingelikuwa Mbowe angelitua na helkopta siku yenyewe. Lakini Lissu atatinga na punda!Singida ni mkoa wa kifugaji pia wacha ng'ombe zidondoke kumpokea shujaa tundu lisu, hakika Tanzania tumempata mtu sahihi wa kutuondolea hii takataka inayoitwa ccm
Helikopta ya pesa za abdul ni heri ya pundaIngelikuwa Mbowe angelitua na helkopta siku yenyewe. Lakini Lissu atatinga na punda!
Mbowe hajawahi kwenda kujipongeza kijijini kwa kwa gharama za wana Chadema nchi nzima kumchangia asherehekee ushindi wakeIngelikuwa Mbowe angelitua na helkopta siku yenyewe. Lakini Lissu atatinga na punda!
Bwana nyama atakayekagua hiyo nyama atapewa maelekezo toka juu isiliweMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Omar Athumani Toto, akielezea maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Mhe. Tundu Lissu wilayani Ikungi tarehe 15 Februari hii
Utateseka sana nzi wa kijani wewestupid, ushindi wa kwenda wapi? ame achieve nini tangible? Ujinga huu ndio unaoiangusha chadema
Athubutu aoneBwana nyama atakayekagua hiyo nyama atapewa maelekezo toka juu isiliwe
Punguza makasiriko.stupid, ushindi wa kwenda wapi? ame achieve nini tangible? Ujinga huu ndio unaoiangusha chadema
Kwakuwa umemjua Mbowe leo, sikulaumu.Helikopta ya pesa za abdul ni heri ya punda
Lissu mwizi wa fedha za watu. Kila siku kulialia achangiwe. Hata juzi kauli ya kwanza tu akiwa Mwenyekiti anaomba achangiwe! Fisadi tu!Mbowe hajawahi kwenda kujipongeza kijijini kwa kwa gharama za wana Chadema nchi nzima kumchangia asherehekee ushindi wake
Lisu fisadi
Kumng'oa nduli mbowe unaona sio kitu tangible achievement?stupid, ushindi wa kwenda wapi? ame achieve nini tangible? Ujinga huu ndio unaoiangusha chadema
Sa100 na Kizimkazi yake vipi?Huyo ndio Tundu Mobutu Seseseko Lisu akielekea kwao kwa gharama za Wanachadema kitaifa na kimataifa kusherehekea ushindi wake wa Mwenyekiti wa taifa akifuata nyao za baba yake Mobutu Seseseko wa Zaire
Chawa wa mama kazini...Kumng'oa nduli mbowe unaona sio kitu tangible achievement?
Hii sasa ni Sifa🤣🤣Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Omar Athumani Toto, akielezea maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Mhe. Tundu Lissu wilayani Ikungi tarehe 15 Februari hii.
Soma, Pia:
Lissu anaenda Singida kama vile Yesu alivgoingia Yerusalem.Kumpinga Lissu kwa sasa ni kupinga kauli ya Muumba kuhusu ukombozi wa Taifa letu.
Lissu aungwe mkono na makundi yote wapigania HAKI wa Taifa letu.
Ukiona mtu anaponda mpango huu basi elewa huyo ni chawa wa Kizimkazi.
Go Lissu Go.