Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Ana roho ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu jana nilikuambia viongozi wa cdm wanatabia ya kutokujali muda, na ratiba zao sio za uhakika. Hili ni kosa kubwa kiufundi, na linaonyesha kukosa umakini, labda kama taarifa yako uliyoleta sio ya kweli.Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.
Stay tuned!
Mkuu jana nilikuambia viongozi wa cdm wanatabia ya kutokujali muda, na ratiba zao sio za uhakika. Hili ni kosa kubwa kiufundi, na linaonyesha kukosa umakini, labda kama taarifa yako uliyoleta sio ya kweli.
Huyu jamaa bado anapiga faru john
😂😂Wewe unachumia nini?
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.
Stay tuned!
Tafadhali msianze kuleta mikosi na uchuro kwenye kudai tume huru ya uchaguzi! Maana nyie CHADEMA hamna kitu chochote mlicho wahi kudai mkapata! Msituletee uchuro. Mlidai corona ikatoweka, mkadai watu wataokotwa wamekufa mitaani kama utitili haikutokea! Hivyo achana na kudai tume huru, mnaweza kutukosesha.Mh. Mbowe mwanasiasa makini sana !! Tunangoja kwa hamu tusikie anatuambia nini, kikubwa tunatakiwa kusikia ni kuungana kwa pamoja na kuanza mapambano mapya ya kudai TUME HURU YA UCHAGUZI..!!