Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuongea na Taifa leo Jan 03, 2020 jioni

Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuongea na Taifa leo Jan 03, 2020 jioni

Rejelea marekebisho ya katiba ya Zanzibar yaliyofanyika hapo 2010 katika kugawana madaraka raia walikubali anaefuatia kwa kura nyingi atakua makamu wa rais vyama vya siasa vinalijua hilo.
Tanganyika mumeshindwa nini kurekebisha katiba mkawa na serikali ya kitaifa kw mshindi 2., Ndio mana tunasems mumepwaya hamujalifikia hilo, Zanzibar wameweza kushawishi angalau kufikia hayo mafanikio ya serikali ya kitaifa.. ndio mana pia tunasems Chadema hawakuwa na plan B
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni....
"hotuba inarushwa kupitia mitandao ya kijamii" hapa ndipo chadema mnapo dhihirisha kua hampo serious kwenye mambo ya msingi, mnashinwa nn kufanya coverage japo kwenye radio station moja?!!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.

Stay tuned!

Tupatie updates za alichoongea Mbowe boss.
 
N
"hotuba inarushwa kupitia mitandao ya kijamii" hapa ndipo chadema mnapo dhihirisha kua hampo serious kwenye mambo ya msingi, mnashinwa nn kufanya coverage japo kwenye radio station moja?!!
Kama wewe ni muumini wa dini taja redio moja ambayo unadhani itarusha maudhui ya chadema bila kuingiliwa na polisi au usalama wa taifa.
 
Jisemee mkuu, kama wewe kwako Hali si njema, kuna watu huko wanapiga pesa,wanatengeneza pesa kuliko Wakati wowote ule, halafu wewe unakuja na ngonjera za kushindwa kwako ulazimishe na wengine wawe kama wewe?

Kwa taarifa yako hata kwenye nchi zenye vita kuna watu huwa matajiri kwa kuuza silaha, dawa za kulevya, madawa ya binadamu nk. Yeye anazungumzia vipato vya watu kwa ujumla na sio mtu mmoja. Sisi Tanzania tunaitwa nchi masikini kwa umoja wetu, lakini kuna mabilionea kama kina Bakhressa, Mo nk.
 
Tunasubiri mpaka TBC na Channel 10 wafike na kufunga mitambo
 
Unataka wasalitiwe kwa kiwango gani, Tundu Lissu aliwaaminisha watu uchaguzi wa 2020 unafuatiliwa duniani kote laki akatahadharisha mara kadhaa kama haki haikutendeka kwenye matokeo ya uchaguzi aliapa wananchi kuidai, sasa ajabu kumbe ana ticket ya kurud belgium bada magu kutangazwa hakutekeleza ahadi alizotoa aliwasaliti wanachadems na kutimkia zake belgiaum
Ulitaka abakie hapa mumpige bomu maana kwa risasi mlishindwa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
"hotuba inarushwa kupitia mitandao ya kijamii" hapa ndipo chadema mnapo dhihirisha kua hampo serious kwenye mambo ya msingi, mnashinwa nn kufanya coverage japo kwenye radio station moja?!!
Radio Station u r not serious
 
Back
Top Bottom