Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuongea na Taifa leo Jan 03, 2020 jioni

Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuongea na Taifa leo Jan 03, 2020 jioni

Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.

Stay tuned!
Vipi angalau ana digrii ya chuo, au bado elimu ni ile ile! Siyo kila mtu atuhutubie bhana!
 
Chadema imepwaya sana hawakuwa na plan B., Kule Zanzibar ACT na maalim seif wameula
Rejelea marekebisho ya katiba ya Zanzibar yaliyofanyika hapo 2010 katika kugawana madaraka raia walikubali anaefuatia kwa kura nyingi atakua makamu wa rais vyama vya siasa vinalijua hilo.
 
Itakuwa ni saa 1 kweli boss? Maana ilisemekana ni leo saa 6 mchana. Naona cdm wana lile tatizo la waafrika la kutokujali muda, na kubadili badili ratiba mara kwa mara. Tunategemea hotuba yenye nguvu za hoja kama ilivyo kawaida ya cdm.
Hivi we ni member Cdm?
 
uko nje ya hoja
wapi bwana wewe, sasa wewe unayesema ACT wameungana na mashetani ndo upo ndani ya hoja??Hujui kama ni takwa na haki yao kikatiba kuunda serikali ya pamoja?? Nyie mbona miaka yote mnakataaga matokeo lakini bado bungeni wabunge wenu wanaenda, hapo sio kurasimisha ushetani??
 
Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.

Stay tuned!
Chadema kuna shida.Tena shida kubwa!!
Tangu jana limetembea tangazo kuwa BAVICHA Taifa watakuwa na mkutano na waandishi wa habari.Leo tunaambiwa Mwenyekiti atazungumza na Watanzania.Sauti na matamko yenu yatakuwa 'Monotonous" na itafikia watu wataanza kupuuza.
Achaneni ni matamko ya uchaguzi,it is over!!
 
Hawa Chadema bwana sasa Tundu Lisu ameshatoa salamu za mwaka mpya kwa Watanzania leo Mbowe nae azungumze na watanzaia keshoMnyika ataongea na Watanzania alafu Halima mdee jumatano ataongea na Watanzania jumamosi atamalizia R. Amsterdam nae ataongea na watanzania
 
Weka link ya hiyo public address hapa
 
Back
Top Bottom