Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuongea na Taifa leo Jan 03, 2020 jioni

Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.

Stay tuned!

Itakuwa ni saa 1 kweli boss? Maana ilisemekana ni leo saa 6 mchana. Naona cdm wana lile tatizo la waafrika la kutokujali muda, na kubadili badili ratiba mara kwa mara. Tunategemea hotuba yenye nguvu za hoja kama ilivyo kawaida ya cdm.
 
Kumekucha !
 
Ile ya saa sita mchana ilikuwa ya Mwenyekiti wa Bavicha na ameshamaliza.
 
Hekima aliyonayo huyu mtu ni zaidi ya viongozi1,000 wavaa majani
Yaani mkutano wa CCM ni kama shamba la migomba.
JamiiForums397209842.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom