Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Inamaana mpaka Leo hii tv za ndani hazitaki kuonyesha hotuba za upinzani? Je chadema waliomba kulipia airtime wakanyimwa? Na Kama wamenyimwa sababu ni zipi? Na je ikiwa siku chadema ikakamata dola watakosea wakivipiga ban milele hivi vi tiviii uchwara? Mapito wanayopitia chadema ndio yanayowafanya wapendwe mno kuliko dola inavyofikiria.