Uchaguzi 2020 Mwenyekiti CHADEMA Ubungo ahamia ACT Wazalendo kwa madai kwamba CHADEMA kuna ubakaji wa Demokrasia na upendeleo kwa Boniface Jacob

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti CHADEMA Ubungo ahamia ACT Wazalendo kwa madai kwamba CHADEMA kuna ubakaji wa Demokrasia na upendeleo kwa Boniface Jacob

Alafu ACT eti inataka vyama vya upinzani viungane wakati inashiriki kuvibomoa! Kwa nini wasingemkataa huyo diwani ahamie CCM.
 
Aache siasa.Hivi huyu Ni wa kushindana na Meya Jacob kweli hata kiutendaji tu.Sinza Ni moja Kati ya maeneo mazuri lakini miundombinu mibovu.Asisingizie Uchaguzi huu.Jacob anaweza hata kuwa mbunge wa Dar mzima.
Naona jamaa yuko sahihi, kwa comment hizi.
 
Hasira zikiisha atajua kwamba naye ni mjinga kama wengine
 
Alafu ACT eti inataka vyama vya upinzani viungane wakati inashiriki kuvibomoa! Kwa nini wasingemkataa huyo diwani ahamie CCM.
Kha! We mtu wa ajabu kweli, Mtaji wa wanasiasa ni wanachama.
 
Udini upi kiongozi ambao haujawahi zungumzwa chama chochote kile, CDM mlituambiaga ya wakristo, CUF ya waislam na hata waislam wanadai Serikali niyakimfumo kristo kwahio suala la udini kama lipo basi likemee, kama anavyolikemea shekhe Ponda na wengine mnaouona udini mtoke nje mkemew ,taasisi zote za uma ziachane na udini.
Sawa
 
Alafu ACT eti inataka vyama vya upinzani viungane wakati inashiriki kuvibomoa! Kwa nini wasingemkataa huyo diwani ahamie CCM.

ACT- Wazalendo wana kosa gani hapa? Hawa si wameomba tu kujiunga? Chama chao cha awali kilitakiwa kuwaita na kuwauliza kulikoni.

Amandla...
 
Naona jamaa yuko sahihi, kwa comment hizi.
Sawa.Kama unaweza kuhitimisha kwa komenti hizi sawa.Lakini Kuna Fact halafu Kuna opinion,Hakuna asiyejua nguvu ya Meya Jacob,hata Salio nje ya Dar es salaam. Wanatambua Hilo .
 
Bora angehamia tlp mbona huko kapotea kabisa. Act ina udini fulani watu hawajajua tuu
Mwanzo tuliambiwa Cuf ina udini, baadaw tukaambiwa Chadema una udini, nawewe leo unatuambia Act ina udini. Basi bora ende Ccm basi au?
 
Zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya uchaguzi wa kura za maoni, CHADEMA wamevunja uongozi mzima wa jimbo la Ubungo hii sio haki .

Naomba John Mnyika Katibu mkuu aingilie ili suala mara moja maana wanataka kumbeba Boniface Jacob.
 
Wakati mwingine hujuma husaidia Ila Kwa sehemu kubwa hazisaidii, Mbowe twende kazi, hujuma zitakuwa ni Nzuri na zenye manufaa ikiwa anayependelewa atachukua Jimbo, na akichukua wote wanaolalama wataumbuka, ikiwa itakuwa kinyume, Lawama zote Kwa Uongozi wa juu
 
Zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya uchaguzi wa kura za maoni, CHADEMA wamevunja uongozi mzima wa jimbo la Ubungo hii sio haki .

Naomba John Mnyika Katibu mkuu aingilie ili suala mara moja maana wanataka kumbeba Boniface Jacob.
Mkuu mbona jana nimeona malalamiko hayo kwenye vyombo vya kupashana habari na tayari kikundi kinachosema kimedhulumiwa kimeishahamia ACT Wazalendo. Au hili nililosikia jana ni lingine.

Hivi ofisi ya Mnyika huifahamu hadi uje kumtafuta hapa JF na kumuomba aingilie kati? Kijana naona kuna mahala unakwama
 
Zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya uchaguzi wa kura za maoni, CHADEMA wamevunja uongozi mzima wa jimbo la Ubungo hii sio haki .

Naomba John Mnyika Katibu mkuu aingilie ili suala mara moja maana wanataka kumbeba Boniface Jacob.
Chadema bhana issue ndogo ya mbunge tu ndio mnavunja uongozi mzima wa wilaya?

Ufipa bure kabisa!
 
Zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya uchaguzi wa kura za maoni, CHADEMA wamevunja uongozi mzima wa jimbo la Ubungo hii sio haki .

Naomba John Mnyika Katibu mkuu aingilie ili suala mara moja maana wanataka kumbeba Boniface Jacob.
Boni anabebeka acha abebwe tu
 
Sawa wewe msubiri mbunge wako Mtulia hapo kinondoni ndo mtajuwa hizo foleni zakutoka Temeke hadi Tegeta nizakujochosha.
Tena Mtulia ndio atatufaa zaidi kwa ajili ya kuwakomesha vidomodomo wa upinzani kule mjengoni!
 
Back
Top Bottom