Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona jamaa yuko sahihi, kwa comment hizi.Aache siasa.Hivi huyu Ni wa kushindana na Meya Jacob kweli hata kiutendaji tu.Sinza Ni moja Kati ya maeneo mazuri lakini miundombinu mibovu.Asisingizie Uchaguzi huu.Jacob anaweza hata kuwa mbunge wa Dar mzima.
Kha! We mtu wa ajabu kweli, Mtaji wa wanasiasa ni wanachama.Alafu ACT eti inataka vyama vya upinzani viungane wakati inashiriki kuvibomoa! Kwa nini wasingemkataa huyo diwani ahamie CCM.
SawaUdini upi kiongozi ambao haujawahi zungumzwa chama chochote kile, CDM mlituambiaga ya wakristo, CUF ya waislam na hata waislam wanadai Serikali niyakimfumo kristo kwahio suala la udini kama lipo basi likemee, kama anavyolikemea shekhe Ponda na wengine mnaouona udini mtoke nje mkemew ,taasisi zote za uma ziachane na udini.
Cdm kuna ukanda na ukabilakama udini uliopo Chadema.
Alafu ACT eti inataka vyama vya upinzani viungane wakati inashiriki kuvibomoa! Kwa nini wasingemkataa huyo diwani ahamie CCM.
Sawa.Kama unaweza kuhitimisha kwa komenti hizi sawa.Lakini Kuna Fact halafu Kuna opinion,Hakuna asiyejua nguvu ya Meya Jacob,hata Salio nje ya Dar es salaam. Wanatambua Hilo .Naona jamaa yuko sahihi, kwa comment hizi.
Mwanzo tuliambiwa Cuf ina udini, baadaw tukaambiwa Chadema una udini, nawewe leo unatuambia Act ina udini. Basi bora ende Ccm basi au?Bora angehamia tlp mbona huko kapotea kabisa. Act ina udini fulani watu hawajajua tuu
Mkuu mbona jana nimeona malalamiko hayo kwenye vyombo vya kupashana habari na tayari kikundi kinachosema kimedhulumiwa kimeishahamia ACT Wazalendo. Au hili nililosikia jana ni lingine.Zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya uchaguzi wa kura za maoni, CHADEMA wamevunja uongozi mzima wa jimbo la Ubungo hii sio haki .
Naomba John Mnyika Katibu mkuu aingilie ili suala mara moja maana wanataka kumbeba Boniface Jacob.
Chadema bhana issue ndogo ya mbunge tu ndio mnavunja uongozi mzima wa wilaya?Zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya uchaguzi wa kura za maoni, CHADEMA wamevunja uongozi mzima wa jimbo la Ubungo hii sio haki .
Naomba John Mnyika Katibu mkuu aingilie ili suala mara moja maana wanataka kumbeba Boniface Jacob.
Chadema bhana issue ndogo ya mbunge tu ndio mnavunja uongozi mzima wa wilaya?
Ufipa bure kabisa!
Boni anabebeka acha abebwe tuZikiwa zimebaki siku tatu kabla ya uchaguzi wa kura za maoni, CHADEMA wamevunja uongozi mzima wa jimbo la Ubungo hii sio haki .
Naomba John Mnyika Katibu mkuu aingilie ili suala mara moja maana wanataka kumbeba Boniface Jacob.
Bora Wilaya kuliko MkoaChadema bhana issue ndogo ya mbunge tu ndio mnavunja uongozi mzima wa wilaya?
Ufipa bure kabisa!
Tena Mtulia ndio atatufaa zaidi kwa ajili ya kuwakomesha vidomodomo wa upinzani kule mjengoni!Sawa wewe msubiri mbunge wako Mtulia hapo kinondoni ndo mtajuwa hizo foleni zakutoka Temeke hadi Tegeta nizakujochosha.
Tena Mtulia ndio atatufaa zaidi kwa ajili ya kuwakomesha vidomodomo wa upinzani kule mjengoni!
Kabisa na Simanjiro Ole milyaKazi mnayo hata kule monduli tunampa Kalanga
Kabisa na Simanjiro Ole milya
Hata Nassari akigombea Arusha mjini tunampitisha......CCM vyeo ni vingi!