nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
Inaonekana huko Chadema kuuwana ni jambo la kawaida kabisa......mtu anatamka tu eti " fulani alitaka kuniua"Mwenyekiti wa chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50.
Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu.
Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.
Mangulas yuko wapi wewe nyenyere?Inaonekana huko Chadema kuuwana ni jambo la kawaida kabisa......mtu anatamka tu eti " fulani alitaka kuniua"
Kwanini hukuripoti polisi?!!
Shangaa hata wewe?uzuri mwenyekiti wao wa Mkoa ni muwazi sana,muda si mlefu tutamsikia akiongea kama alivyomwambia yule Naibu waziri furani kuwa alinunuliwa kama fungu la dagaa wa Mwanza ndiyo huwa wanauzwa kwa bei ya chini kuliko dagaa wote.Kwahiyo amehama CHADEMA sababu ya Heche sio Chama na siku Heche akihamia CCM itakuwaje
Laana ya yule daktari wa falsafa ni kaliMwenyekiti wa chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50.
Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu.
Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.
Hivi kumbe taarifa kwamba CDM ina wanachama mamilioni ni za kweli? Maana tangu waanze kuhama wangekuwa wachache wangeshaisha.Mwenyekiti wa chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50.
Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu.
Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.
Amechelewa kuhama huyu! Kunakucha ndo anavuta blanketi!Kupanga Ni Kuchagua
Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua
Ccm hawako serious na huu ugonjwa. Wao wako busy kuwa nunua Chadema na kuwaandikia speech za uongoMikusanyiko si hairuhusiwi?
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50.
Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu.
Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.
View attachment 1408577
Tumechoka kusikia nahama CDM kwenda CCM, natokaka CCM naenda CUF, mara naenda ACT. Hii sasa sio habari ni upuuzi. Huu UMALAYA wa kisiasa fanyeni kwa SIRI maana mnajiaibisha.Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50.