Uchaguzi 2020 Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Tarime ahamia Chama Cha Mapinduzi leo

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Tarime ahamia Chama Cha Mapinduzi leo

Heche ni jambazi lakini mwisho wake umefika,hana tofauti na Lema ukitofautiana nao lazima wakulaze tu
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50.

Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu.

Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.

View attachment 1408577

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USAID imewaongezea Rwanda kiasi cha USD 1M kwa mapambano mazuri dhidi ya COVID-19
Mapambano ya Rwanda mazuri yapi?? Ya kuua washukiwa wa COVID-19 Au ya askari wake kubaka Wanawake wanaovunja amri ya Karantini???
Somtym Tuache kuimba mapambio ya kishetani
 
Tumechoka kusikia nahama CDM kwenda CCM, natokaka CCM naenda CUF, mara naenda ACT. Hii sasa sio habari ni upuuzi. Huu UMALAYA wa kisiasa fanyeni kwa SIRI maana mnajiaibisha.

Juzi tu kuna mtu alisema chadema mbeya yaiburuza CCM wafuasi rukuki wahamia chadema mbona hukuchoka na hiyo habali, au kwa kuwa ilikuwa ni ya chama pendwa?
 
Mapambano ya Rwanda mazuri yapi?? Ya kuua washukiwa wa COVID-19 Au ya askari wake kubaka Wanawake wanaovunja amri ya Karantini???
Somtym Tuache kuimba mapambio ya kishetani
Nenda ukawaulize Wamarekani.
 
Tumechoka kusikia nahama CDM kwenda CCM, natokaka CCM naenda CUF, mara naenda ACT. Hii sasa sio habari ni upuuzi. Huu UMALAYA wa kisiasa fanyeni kwa SIRI maana mnajiaibisha.
Kwa kweli kuhama hama kifala fala inakera sana tena inashangaza mbunge kwenda jimboni kwa mbunge mwingine kufanya kampeni kampen kabla ya mda wake
 
Back
Top Bottom