Uchaguzi 2020 Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Tarime ahamia Chama Cha Mapinduzi leo

singo ishachuja hii longi kitambo mbona?
 
Zamani nilidhani watu wa musoma wanamisimamo kumbe tofauti ni waganga njaa tu ndo maana hata maendeleo hakuna ni wale wale akina waitara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine NCCR buana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amechelewa kuhama huyu! Kunakucha ndo anavuta blanketi!
Mwenyekiti Wa Ccm Mkoa Wa Mara
Anasema Namnukuu:-
Alisema Habishani Na Watu Waliofika Bei 😅😄😃😀😁😂
Waitara Akiambiwa
 
Mlio karibu naye mwambieni aindoke na nkewe kabisa CDM haitaki virus....
 
[emoji16][emoji16]ccm ndio chama kinacho ongoza kwa kujaa wajinga,wezi,malaya,mafisadi,wapumbavu,malofan.
Kauli kama hizi huwa wanazitoa wakiwa na haja kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuzira hakukusaidii chochote. Unachotakiwa kufanya ni kukiuliza chama chako, tatizo ni nini? Hizo mbwembwe zenu za vhama kikuu cha upinzani haziwasaidii. CUF nayo waliishawahi kuwa chama kikuu cha upinzani. Wako wapi sasa?
 
Kijana ukiweka kando ukabila na udini uliotangazwa na gwajima ni nani kati ya wafuatao anaweza kupigia kura ccm........
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
 
Vibaraka ruksa kuhama. Ni muda tangu mamluki waanze kutangatanga lakini CDM bado ipo inadunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…