Uchaguzi 2020 Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Tarime ahamia Chama Cha Mapinduzi leo

Heche ni jambazi lakini mwisho wake umefika,hana tofauti na Lema ukitofautiana nao lazima wakulaze tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
USAID imewaongezea Rwanda kiasi cha USD 1M kwa mapambano mazuri dhidi ya COVID-19
Mapambano ya Rwanda mazuri yapi?? Ya kuua washukiwa wa COVID-19 Au ya askari wake kubaka Wanawake wanaovunja amri ya Karantini???
Somtym Tuache kuimba mapambio ya kishetani
 
Tumechoka kusikia nahama CDM kwenda CCM, natokaka CCM naenda CUF, mara naenda ACT. Hii sasa sio habari ni upuuzi. Huu UMALAYA wa kisiasa fanyeni kwa SIRI maana mnajiaibisha.

Juzi tu kuna mtu alisema chadema mbeya yaiburuza CCM wafuasi rukuki wahamia chadema mbona hukuchoka na hiyo habali, au kwa kuwa ilikuwa ni ya chama pendwa?
 
Mapambano ya Rwanda mazuri yapi?? Ya kuua washukiwa wa COVID-19 Au ya askari wake kubaka Wanawake wanaovunja amri ya Karantini???
Somtym Tuache kuimba mapambio ya kishetani
Nenda ukawaulize Wamarekani.
 
USAID imewaongezea Rwanda kiasi cha USD 1M kwa mapambano mazuri dhidi ya COVID-19
CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi ili wapate pesa nyingi zaidi ziwasaidie kwenye kampeni
 
Tumechoka kusikia nahama CDM kwenda CCM, natokaka CCM naenda CUF, mara naenda ACT. Hii sasa sio habari ni upuuzi. Huu UMALAYA wa kisiasa fanyeni kwa SIRI maana mnajiaibisha.
Kwa kweli kuhama hama kifala fala inakera sana tena inashangaza mbunge kwenda jimboni kwa mbunge mwingine kufanya kampeni kampen kabla ya mda wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…