Mwenyekiti Mangungu ndiyo aliyebariki uuzwaji wa tiketi zaidi ya 60,000 na kusababisha wengine kukaa nje

Mwenyekiti Mangungu ndiyo aliyebariki uuzwaji wa tiketi zaidi ya 60,000 na kusababisha wengine kukaa nje

Ukishaona timu ya mpira inaanza kuleta siasa nyingi kwenye mpira ujue mambo lazima yaende mrama tu. Nitaishia hapo kwa sasa....
Si mlikuwa mnalalamika mama anaipendelea Yanga, sasa mama amewasikia amekuja kwenye bonanza la Simba na kupiga self na wachezaji bado hamjaridhika?
 
Ukishaona timu ya mpira inaanza kuleta siasa nyingi kwenye mpira ujue mambo lazima yaende mrama tu. Nitaishia hapo kwa sasa....
Mpo Kama kinyonga mama akiwaita yanga mnlalamika Sasa kaja kwenye kitchen part yenu mnasema ni siasa.

Tahra WEWE.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
namba ya seat ipo haieleweki kwanini walifanya huu uhuni labda ndio sababu walihamasisha watu wake mapema, kuomba radhi haitoshi warudishe pesa zote walizochukua kiwizi
Hawa makondoo yamezoea kupigwa, kwani pesa walizomchangia Feisal amewarudishia miamala yao?
 
Naandika nikijua wewe ni UTO na tulishaambiwa wenye akili ni wawili Ok, lakini hata kwa akili ndogo huwezi kujiuliza mgeni rasmi jana alikuwa nani na protocal za kiulinzi zikoje? Hivi huyo Mangungu unayemsema ana nguvu za kwenda kumuuliza Rais unakuja na msafara wawatu wangapi? Unafikiri ulinzi wa Rais ni hao tu waliokuja naye kwenye magari? Hao walinzi wanalipa viingilio? Walikaa kwenye siti za kina nani? Unafikiri tiketi unajiuzia unavyotaka bila kufuata taratibu? Huo uwanja una wenye nao ambao wanaulinda usiharibiwe. Serikali inatrack mfumo wa N CARD kwa ajili ya kujua idadi na kiasi gani cha kodi kikusanywe au Mangungu ni waziri wa fedha? Hii ni nchi pekee ambapo wajinga husikizwa na kuheshimika
Mbumbumbu, mechi zote kubwa idara ya usalama wa Taifa wanapewa official tag za kuingia uwanjani.

Msafara wa Rais hauusiki kwa lolote na ujinga uliofanyika wa kuuza ticket nyingi zaidi ya uwezo wa uwanja.

Kaa kimya hujui lolote kuhusu protocol za PSU na coverage officers, unademka tu.
 
Halafu linakaza shingo utafikiri lipo kwenye mfumo mbweha kabisa huyu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbumbumbu, mechi zote kubwa idara ya usalama wa Taifa wanapewa official tag za kuingia uwanjani.

Msafara wa Rais hauusiki kwa lolote na ujinga uliofanyika wa kuuza ticket nyingi zaidi ya uwezo wa uwanja.

Kaa kimya hujui lolote kuhusu protocol za PSU na coverage officers, unademka tu.
Aliyesema wenye akili ni wawili hakukosea. Unaongea story za vijiweni tu.
 
Tiketi zinarudishwa jamii forums?
inawezekana na wewe ni mnufaika mkubwa wa huu wizi. Ni kawaida Kwa baadhi ya watanzania kutetea maovu pale wanapokuwa wanufaika ndio maana hata mkataba wa Dp world ulipopelekwa bungeni Kuna wabunge kama msukuma walitumia nguvu Kwa sababu walishanufaika na hata kina Kitenge kutetea upuuzi wa Dp world ni Kwa sababu wameshanufaika. Kuna askofu mmoja aliuliza hivi wale wanaopinga ufisadi ni kweli wanaupinga au na wao wamekosa kufanya ufisadi.
ukiingia Twitter Kuna watu wamelipa tiketi za Bei kubwa lakini wamekosa nafasi. Idadi ya Tiketi inajulikana, tiketi zilikuwa na seat number hao watu waliojaza uwanja waliingia Kwa tiketi gani.
Yakitokea maafa tunaanza kutoa lawama wakati tuna uwezo wa kuzuia hayo maafa.
 
Back
Top Bottom