Mwenyekiti Mbowe kama miaka 30 upo madarakani hatujafanikiwa, hiyo dola tutaikamatia wapi ili tupimwe?

Mwenyekiti Mbowe kama miaka 30 upo madarakani hatujafanikiwa, hiyo dola tutaikamatia wapi ili tupimwe?

Tulimkataa mzee cheyo ambaye alikuwa na sera za kujaza watu mapesa, acha kuni zituwakie...
 
..Na kama Tanu na sasa Ccm wameshindwa kuondoa ujinga, umasikini, na maradhi, kwa miaka 62 basi tuachane nao.
 
CCM kwa kutumia dola ni zaidi ya mkoloni ambaye hakuwahi kufyatua risasi ili aendelee kukaa madarakani lakini CCM imetumia kila aina ya njama ili mradi atawale kwa mkono wa dola, hata hivyo hali ya uchumi ni mbaya sana huku walioshindwa eti wanashangaa tuliopata nao uhuru miaka zaidi ya sitini iliyopita kufanikisha uchumi wao mara nane zaidi yetu!
 
Back
Top Bottom