TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Huyu mzee aliniudhi wakati wa campaign za 2000 alivyokuwa akirusha vipindi kuonyesha mauaji ya Rwanda eti tukichagua vyama vingi tutakuwa kama Rwanda. Nadhani alifanya hivyo ili aendelee bila kufuatiliwa na watawala.
hahaha mkuu, kabisa unadhani mengi kwa sababu ni mmiliki basi alirusha yeye hiko kipindi ? wafanyabiashara wako busy mno unaezakuta joe kusaga anamaliza week nzima hajatazama clouds kwa zaidi ya 5hrs
 
Hivyo alikuwa na Jack,twins,Regina na mdogo wake? Mbona wanasema alikuwa Dubai kwa matibabu?
 
RIP Mengi. Kupandikiza vinasaba tena? Has stem cells engineering technology confirmed to help some of these diseases we suffer? Was it a reason?
May be the effects of the procedures were worse. Kupandikizwa cell mpya,cell zikizeeka zimezeeka.
 
I dedicate nyimbo ya 'My Way' by Sinatra kuusindikiza huu uzi
 
You are right... Ni kwa tasnia zote za maendeleo kiukweli tumepoteza mhimili mkubwa sana
 
Du!,umeamua haswaa!
 


MATARAJIO YETU 2019

1.
Dkt Mengi kujenga kiwanda cha simu janja ‘Smartphone’ cha kwanza Tanzania



2.
"Kiwanda cha IPP Automobile Limited kwa kushirikiana na kampuni ya Youngsan Glonet Corporation (KOTA) kinatarajia kuunda magari aina ya Kia, Hyundai na Daewoo, ambapo kati ya September na October mwaka 2019 Tanzania itaanza kutumia gari la kwanza", amesema Dkt. Mengi.
 

Kiharusi ndio tatizo? Anyway hakuna anayeishi milele
 
Kwa kuwa siku ile mkurugenzi wa clouds media ruge mutahaba alikuwa siku alizikwa wiki hiyo hiyo mfanyakazi wake ambae ni mtangazaji kwenye radio ya marehemu ambae ni Efrahim kibonde kwa mshtuko wa kuondokewa na boss wake nae aliaga dunia,sasa kwa baba yetu mzee R.mengi nae ni mkurugenzi wa makapuni ya IPP media nae kaaga dunia tumwombee sana mzee mengi na wafanyakazi wake baadhi wasipatwe na mshtuko
 
R.I.P Baba wa watu.Aisee watu wanakufa Hadi naogopa.
 
Kwa uwezo wa Mwenye Ezi Mungu hakuna lingine litakalo tokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…