TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Poleni wana familia ndugu na jamaa kwa kuondokewa na mzee Mengi. Alisaidia watu wengi alikuwa na moyo wa upendo na kupenda kusaidia kwa Mali na mawazo
 
Kwa hakika u mavumbi wewe, na mavumbini utarejea pumzika kwa amani Reginald Abraham Mengi,umeitwa na baba yako na we umeitika, anakupenda sana,hutarejea kamwe
 
Rest in peace mengi

Mwenye number za kyln
Naomba jaman
 
Hujui kwa nini haya yametokea kwa sababu juzi alikua na Bashite? Unataka kutwambia nini??
 
Mwenyezi Mungu amlaze pema peponi alikuwa mpenda maendeleo na mwenyehuruma na wasiojiweza.
 
Hapo ndo umeshalianzisha hivo! Magazeti yakianza kuhusisha kifo cha mzee wetu Mengi na mambo ya Freemasons na wewe utakuwa umeshiri kuikuza hiyo dhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…