Somoche
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 6,795
- 9,143
Nchi yetu yetu imepoteza Mmoja wa Wafanyabiashara Wakubwa..alienza biashara na kujenga himaya kubwa Tanzania na Duniani.
Mzee Mengi tunakushukuru kwa mchango wako katika maeneo mengi uliyopitia, tunakushukuru sana kwa ajili ya mzee wetu. Ninamkumbuka kama mtu mwenye uthubutu wa hali ya juu( risk taker) ambae alijaribu na akafanikiwa kujenga himaya kubwa ya biashara Tanzania iliyogusa maelfu ya watu.. Namfahamu huyu mzee kama mtu mwenye roho ya simba mpiganaji na mtu mahiri mno kwenye suala la kuona nafasi ya biashara na kuichukua.
Hivi Karibuni alianzisha kitengo maalumu cha Research and Innovation na baadae akaja na kampuni ya Madawa na simu huyu alikuwa mwamba mkuu kwa Nchi hii.
Mengi ninakulilia mm mtu mnyonge ambae umenigusa sana maisha na heshima yangu..Asante rafiki yangu, asante Mzee wangu mtu muungwana mwenye roho nzuri
Lala kwa amani Simba
Wewe ni Mwamba
Wewe ni jemadari
Wewe Mengi wewe
Tanzania inakulilia
Ulizaliwa Moshi ukageuka kuwa Mtu wa Tanzania na Dunia nzima.