green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Haha haha sifahamu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha haha sifahamu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Taarifa inatakiwa ije ikiwa na uthibitisho, pia swala la msiba kuna ndugu wengine huwa wanapresha na familia huwa inajua jins gan ya kumfikishia taarifa mlengwa, sasa akiisoma humu fasta anaweza kufaNa kila mtu akiamua kunyamaza hakuna taarifa itakayokua inaletwa huku mapema...
Ndo hapo mkuu na mm nashangaa, hata gazet la nipashe la leo halijaandika hiyo habarAmefariki na EATV wanaendelea na vipindi vya mziki kama kawa, ITV kipindi cha kumekucha kinaendelea kawaida ila mgeni kaanza na kutoa pole. Hapa duniani we jenga jina halafu pita hivi rudi mavumbini.
Kwani angekua hajafunga ndoa asingekufa?Rest In Peace mzee, kweli ndoa iliyofungwa na Mungu binadamu hawezi kuivunja. Umemfuata mke wako.
Kinje atajirudishamjane mwenye mabillionii