TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Dunia tunapita..Tutende Mwema Safari Yetu Iwe Nyepesi
 
Aisee, Media kubwa mwaka huu zinapata mapigo makubwa.
Mbele yao, nyuma yetu.
 
RIP ndoto ya kutengeneza magari sijui nani ataiendeleza
 
Nimepokea habari hii kwa mshtuko mkubwa; Mzee Mengi ametoa mchango mkubwa sana katika maisha ya kijamii, kisiasa na kiungozi kwenye taifa letu.

Taifa limepoteza mtu ambaye amegusa maisha ya watu wengi sana - mimi ni mmmojawapo. Mungu ailaze roho yake pema peponi, he will be greatly missed.

Nawaombea familia yake, ndugu, jamaa na marafiki faraja kufuatia mshtuko mkubwa kufuatia pigo hili.

Amen.
 
Back
Top Bottom