chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
This world is not fair
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari ya lisssu mlipompiga risasi mbona hamkusema mambo ya presha, kwani hakuwa na ndugu zake?kuna maelfu ya watu hapa, kwa hiyo watu 10 wa familia moja hawawezi zuia maelfu kupata taarifa kisa wana presha....
usimp[angie Mungu, anajua pa kuweka mavuno yake, pole kwako na wengine piaMungu ailaze Roho yake mahali pema peponi,
Poleni sana wote walioguswa na hili tukio.
Mengi tutamkumbuka kwa Mengi.
Achana nae mkuu...habari ya lisssu mlipompiga risasi mbona hamkusema mambo ya presha, kwani hakuwa na ndugu zake?
asante, wewe mstaarabuPole kwa wafiwa wote
Kama magazeti yanaanza kusafirisha saa 5 usiku, unadhani yanakuwa printed saa ngapi?Ndo hapo mkuu na mm nashangaa, hata gazet la nipashe la leo halijaandika hiyo habar
Ktk hali ya kawaida mpishano wa umri presumption of future widow ship to her was inevitable kibaolojia.Jamani Klyn ni mjane