Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Asante kwa taarifa R.I.P mizimu ya mababu impokee salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweeeh...Dubai alikwenda na mke wake?
kama mtu mkubwa tajiri,mwenye kampuni kubwaa na magaari ya kifahari katutoka,vipi mimi mweenye kibodaboda changu na akiba ya 50K Kwenye akaunti ntabaki milele kweli?Daah, kweli kila nafsi itaonja umauti. Ingekuw Mungu anapokea rushwa, kwa mali na utajir wa mzee Mengi, basi asingetutoka.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe
Mke wake yu Hai.. Acha upuuziRest In Peace mzee, kweli ndoa iliyofungwa na Mungu binadamu hawezi kuivunja. Umemfuata mke wako.
Dah,Jamani Klyn ni mjane