TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Rest in peace mzee Mengi!

Zile projects zake za kujenga viwanda vya magari na simu bila shaka zimeishia hapa maana sioni wa kuziendeleza
 
Ni pigo kubwa kwa JAMII. Lkn ninayoweza kusema.
1. Hapa duniani tunapita.
2. Tuna mengi ya kujifunza toka kwake.
3. Poleni wafiwa. Mungu mwenye faraja yote awafariji wote katika kipindi hiki kigumu.
 
kama mtu mkubwa tajiri,mwenye kampuni kubwaa na magaari ya kifahari katutoka,vipi mimi mweenye kibodaboda changu na akiba ya 50K Kwenye akaunti ntabaki milele kweli?

إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَعِبْرَةً لِّمَن يَخْشَىٰ

[ ANNAZIA'AT - 26 ]
Kwa hakika katika haya yapo mazingatio kwa wanao ogopa.
Kufa kufa tu
Hata uwe na fedha umezijaza Dunia nzima utakufa tu

Ova
 
Very difficult to take. MUNGU mwenye huruma umjalie pumziko zuri la milele.
 
Mkuu long life ndio IPI na Short ndio ipi? Maana jamaa amezaliwa 1944, sasa kama kama kuna vijana kama akina Ruge ni 70's wamevuta, hapo short ni ipi na long ni ipi?
Both are too short

Unajua kuwa wote hao wameishi chini ya siku elfu hamsini.

Nini kinafanya tushindwe kuishi siku laki na kuendelea?

Yaani siku laki moja tu ni utata kwa binadam, namba ambao kama ni hela inaweza isha siku moja
 
Pumzika kwa amani Mzee Mengi.

Mbali na ujasiriamali umetuachia somo kuhusu mapenzi
 
Dah! Apumzike salama na roho mtakatifu umlinde na mwanga Wa milele umuangazie
 
RIP Dr. Mengi, umeacha mali nyingi sana na mke mrembo. Kumbe ni kweli sisi binadamu tunapita tu, Mungu tusaidie sana.
 
Chanzo cha kifo chake ni nin? Sikuwah kusikia anaumwa hata malaria....au mason wamefanya yao juu kwa juu, anyway nusu ya utajiri wa mzee atapewa kylin...mtoto mashalaah
 
Dah!! R. I. P Mzee Mengi...

Ni takribani wiki moja imepita, nilikuwa na mmoja ya wafanyakazi wa kampuni yake. Tulikuwa tunaongea namna mzee alivyowekeza jamaa ananiambia "ikitokea hata leo Mzee amefariki basi kuna watu watasimamia vizuri biashara zake"

R.. I.. P
 
Back
Top Bottom