ZINDAGI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 1,118
- 1,430
Kuna msg hapa
Maskini kamfuata mke wake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini kamfuata mke wake!
Anakufa Mengi linabaki jiwe walilolikataa waashi..na limekuwa jiwe kuu la pembeniWhy??
Na wewe unataka uoneWapi umeona mzee???
Ndo hapo mkuu na mm nashangaa, hata gazet la nipashe la leo halijaandika hiyo habar
Mtu makini hufanya kazi na watu makini, usisahau hilo maishani mwako.Rest in peace mzee Mengi!
Zile projects zake za kujenga viwanda vya magari na simu bila shaka zimeishia hapa maana sioni wa kuziendeleza