Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,357
Dah..hii imenifikirisha sana.....R.I.P mzee Mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hayo nayosema mimi habari gani ambayo aina leading statement ata kwa kifupi, unasema tu mtu kafa, how? wangeweka tu ata sababu kwa kifupi maelezo zaidi baadae.Radio One na ITV wametangaza kwa kifupi sana, hawajataja yote hayo uliyoulizia
Amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo huko Dubai..basi
Ugonjwa ni faragha ya marehem.Amefariki kwa ugonjwa gani ?
Marehemu hana hatia.Huyu mzee aliniudhi wakati wa campaign za 2000 alivyokuwa akirusha vipindi kuonyesha mauaji ya Rwanda eti tukichagua vyama vingi tutakuwa kama Rwanda. Nadhani alifanya hivyo ili aendelee bila kufuatiliwa na watawala.
Amefariki na EATV wanaendelea na vipindi vya mziki kama kawa, ITV kipindi cha kumekucha kinaendelea kawaida ila mgeni kaanza na kutoa pole. Hapa duniani we jenga jina halafu pita hivi rudi mavumbini.
According to Imani yako,which is not necessarily true. To me yesu was just a man who lived in Judea circa 2000 years ago. He nothing more than a troublesome preacher, who was caught by the authorities and was sumnaryily executed.Mungu atusaidie, alikuwa amempokea Yesu na ameokoka, Yesu ni mwokozi, na matajiri wengine igeni mfano wa Mengi kuokoka, hata Klyn naye anampenda Yesu
A brainwashed religious apologeticMungu atusaidie, alikuwa amempokea Yesu na ameokoka, Yesu ni mwokozi, na matajiri wengine igeni mfano wa Mengi kuokoka, hata Klyn naye anampenda Yesu